Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

Injinia Hersi Saidi akiwa na mama mzazi wa Aziz Ki ambaye ni meneja wa mchezaji huyo kwa ajili kukamilisha usajili wa nyota huyo kujiunga na Yanga SC.
Hivi hawa nzala sc hawawezi kutafuta wachezaji mpaka wavizie tunasajili Yanga? Huyo dogo wa Miyomboni Singida hana anachokifa hapo anawatapeli haya wewe dogo usiejielewa try again kajaribu tena kwa Pacome bata mzinga wahedi
 
Kutumia neno muhasibu ninmakosa ya kisheria ,adhabu Kali itatolewa kwa yeyote atakaye tumia tena baada ya leo.

Tumekubaliana wote pamoja na mods mwamba ndugu yeti ni "Mwasibu" naomba ieleweke hivyo.
😂😂🤣🤣
 
Hiki kipindi cha usajil ndipo naonaga wazi watanzania wengi tulivyo mambumbumbu.

Ukifuatilia mitandaoni ukiona watu wanavyofanywa toilet paper na wanajaa kweli kweli unabaki unashangaa tu.

Alafu why swala la kumsajil mtu lionekane Jambo fulani kubwaa kias hicho?
Shida ya sisi wabongo tunapenda Sana attention ndio maana waandishi na viongozi wa tmu hizi mbili hutumia kipindi km hiki kujizolea umarufu na sifa ambazo hawana so hujificha kupitia ujinga wetu.

Alafu watz tuna shobo Sana na wachezaji wa kigeni ,huu ushamba sijui utaisha lini ,kupitia ushamba wetu tunawapandisha gharama hao wachezaji bila kujua ,mtu wa kumnunua 100m inafikia wakat ananunuliwa kwa 300m kisa ushamba wetu.
Hata adebayor Simba wangempata vzr tu km wangeenda kimya kimya, shida ni kutaka sifa kwa mashabiki na kuleta sintofaham kila Kona ya mitandao na ikapelekea wa upande wa berkane kuamka na kuhitaji sain yake .
Kwan mkisajil kimya kimya bila kelele na mbwembwe shida iko wapi?
Shida ni nganda
 
Utopolo mnachoshangilia kitu gani hapa?

Okrah ni zaidi ya huyo mtoto wenu, amemzidi kila kitu.

Magoli ya kufunga.

Assist.

Timu alizochezea.

Wacheni kujitoa akili!.
Mnajitoa akili ninyi kudandia gali ambalo hamna uwezo nalo vipesa mlivyovipata kwenye ligi ya viti maalum vyote amechukua dogo wa Miyomboni Singida
 
Back
Top Bottom