Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale
Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa!
Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao)
Masanduku ya kura yakaandaliwa na kupangwa kwa ajili ya upigaji kura!
Wasimamizi wa uchaguzi (walimu ) wakiwa na kura zao mfukoni wanaingia mmoja mmoja kuzipachika kura za mchongo kama wapiga kura wa kawaida!
Askari (polisi) baada ya kuona huo uchafu akaamua kwanza kuwarekodi walichokuwa wanakifanya!
Baada ya kuwarekodi ndipo akaenda kuwakamata hao watu waliofanya huo ujinga!
Askari akiwa na ari ya kipolisi akawahoji inamaana mnatuona sisi tunaosimamia ulinzi hapa ni wajinga, akawakamata kwa mahojiano! Lakini wakamjibu sisi tumelekezwa kufanya haya!
Wasimamizi wakampigia diwani kumweleza, na muda mfupi baadae gari ya polisi inakuja na maaskari wengine na kumkamata huyo polisi mwenzao na kuondoka naye pamoja na vielelezo vyake ambayo ni simu yake!
Uchaguzi usipozingatia haki hamnyimi tu haki mwananchi ya kuchagua kiongozi sahihi bali unapanda hadi tabia mbaya kwa waadirifu waone rushwa na wizi siyo kosa bali ni ujanja!