Alichofanyiwa Mrisho Ngassa ni uhuni, TFF, TPLB mnawajibika

Nikikumbuka kalivyochezaga picha la x,kakabusu jezi ya timu nyingine wakati kanachezea timu ingine,kakakataa hela nyingi bila akili halafu kakauacha mpira kwa kuuruka mechi ya pyramid ukazaa goli.INGEBIDI WAKATOE ANGALAU NUNDU MOJA USONI.WACHA KAFUNZWE.
 
Aliyekwambia ngasa hana hela ni nani?
 
Kwani ngasa anakosa elfu kumi kuingia uwanjani afuate sheria haya mambo ya kuleana ndo yanaturudisha nyuma mtu hafuati sheria eti kisa star ronaldinho mwenyewe licha ya ustar wote ila sheria ilipita naye who's ngasa.
 
Alipaswa kujiandalia Maisha ya baadae wkt akiwa mchezaji nguli asilaumu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…