Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

Mwigulu Nchemba unayakumbuka haya mawasiliano?

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <[email protected]> >
To: “Emmanuel Nchimbi” < [email protected] >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <[email protected]> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < [email protected] >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <[email protected]> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN
 
Last edited by a moderator:
images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

Kumbe ile hotuba ya Msigwa iliwagusa eh! Hahaaa akili ndogo inatawala akili kubwa... Ile hotuba ya Msigwa ilitakiwa maktaba kwa ajili ya vizazi vijavyo
 
Magamba mmechemsha! Mpango wenu umenoa!! Nilidhani mngefurahi kwamba CDM imeparanganyika lakini kumbe mnasikitika mmefeli! Ni kwa nini mnapiga mayowe baadala ya kumpokea Zitto kwa shangwe, hoihoi, vifijo na Ndelemo kama mlivyofanya kwa masalia waliomtangulia? Hapa wenye mang'amuzi mapana lazima wajiulize mara mbili!
wewe ni mfano hai wa hao wenye akili ndogo wanaozungumziwa na mtoa mada.zitto anapendwa na watanzania wengi sana wa vyama vyote vya siasa kutokana na misimamo yake,hoja zake na manufaa ya misimamo hiyo kwa taifa.kila mara amewashinda kwa hoja na kuwaprove wrong pale walipotaka kutumia hila mbalimbali kumwangusha.wamekuwa wakipambana nae lakini kila mara anawahinda kwa hoja.so ukiona mtu wa chama kingine aanamsifia sio kwamba ni mamluki but anaaapprriciate kile anachofanyakatika jamii.watanznia wengi bado hatujsahau kwa mfano cdm na wapambe wao wa ccm waliojiita wapambanaji wa ufisadi walivyohandle issue ya dowans na kumwta zitto kila aia ya jina lakini sas wakati nchi inaendelea kukamuliwa a dowans hao wanafiki wamekaa kimya.symbion wanalamba kiasi walichokuwa wanalamba dowans ka siku,tunalipia mitambo ambayo si ya kwetu tena ka bi zaidi ya ile waliyotaka kutuuzia etc hayo ndio mambo yanayomfanya zitto apendwe na watanzania bla kujali itikadi za ksiasa au huo upuuzi wenu mnaoaminishana.viana wengi tumependa siasa coz ya zitto wa jinsi anavyobua mambo yanayoleta changamoto na mabadiliko katika uendeshaji wa nchi.nimesoma comment ya mpuuzi mwenzio eti anadai ameacha kumwamini zitto coz ameshindwa kutaja majina ya walioficha pesa uswizi,just imagine mtu na akili yake timamu kabisa anasema hivyo.akitaja atanufaika vipi?hvi list of shame ya slaa ilitusaidia nini kama taifa?walipelekwa mahakamani?mali zao zilitaifisha?ULINUFAIKAJE KAMA MTANZANIA NA LIST OF SHAME??????Zitto anaenda mbali zaidi coz he is a great thinker.....anafuatili mfumo zima unaoawezesha hao wezi kuficha pesa huko ng'ambo,anazungumza na wanaowasaidia hao wezi kuficha hizo pesa huko katika nchi zao ili kutafuta njia bora za kuwazuia wasiweze kuweka pesa wanazoiba huko ughaibuni.anatafuta fursa za kuziba mianya hiyo kwa kutumia taasisi za fedha za kimataifa,nchi wahusika,maraiki wa Afrika etc etc ili kama sio kumaliza tatizo basi lipungue.ZITTO ANACHUKUA HATUA NA SIO KUPIGA POROJO MAJUKWAANI!!!!!!Hivyo ndivyo vitu vinavyomfanya zitto apendwe na watanzana walio wengi bila ujli itikadi zao za kisiasa.
sasa nyie coz mnaangalia na kushabikia zaidi majungu na fitina basi mnalazimisha wote tuwe hivyo.tukipingana nanyi mnatuita majina mnyoyaishi kivitendo.sawa na kuwa bwabwa kisirisiri then unamtangazia mwenzio bwabwa mbele za watu coz ana makalio makubwa>UJINGA.
Wenye akili zetu timamu na sio za kushikiwa hamjatukamata kwenye huo udaku wenu.
 
Msigwa msigwa.msigwa.msigwa.msigwa.msigwa hotuba yako ni kiboko inawakuna imemchomoa mwigulu shimoni ,
 
Subject: Fw: kazi nzuri Date: Sunday, November 17, 201320:28 From: " Mwigulu Nchemba " <[email protected]> > To:“Emmanuel Nchimbi” < [email protected] > On Sunday, November 17, 20136:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <[email protected]> wrote: sawa boss,,jumatanosaa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana nazzk. mh. Lukuvi namtafuta punde MN 2013/11/17 Emmanuel Nchimbi <[email protected] > bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambanoyanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryobaapumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya paleufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basijioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma Sent from my ipad On Sunday, November 17,2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <[email protected]> wrote: Naona vijanawametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe,sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti.Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani,nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sanakumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndanizinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vitahilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sanamashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbiliitawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaasana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela iliwasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni MN
 
Mwigulu Nchemb [CENTER said:
images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba

[/CENTER]
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

This is political plagiarism, acknoledge the source we mwananchi wa Iramba, ambae 2015 tunae.Ungeweza kusema Alichofanyiwa Zitto na Mkumbo ni Akili ndogo kutawala akili kubwa (Msigwa, 2012). aKwa kusema hivi ungekuwa salama we Mwananch wa iramba.
 
Mtaalam wakutengeza invoice fake ni Kinana campaign meneja wa JK. Nakukumbusha tu alitengeza invoice za kukodi ndege ya serkali kumbeba Salma alipobanwa akasepa zake marekani. CCM ni mabingwa wakufeki kila kitu ndiyo maana tuna rais feki

Sitafuti wataalamu hapa... mko wengi sana.
 
Mtoa thread hii ndio tunamtangaza kuwa ameshinda tuzo la utoaji thread la M.Mwanakijiji la mwaka 2013.

Hongera Mh Mwigulu Nchemba kwa kazi kubwa uliyoifanya na kuwa The great T. hapa JF.

Ukikabidhiwa kikombe usimsahau kumpongeza Mh Slaa na Mbowe kwa kuwarahisishia mwaka 2015.
 
ZITTO KABWE - THE REJECTED BRAINY.

Ni Kijana wa Makamo mwenye jina kubwa katika medani za siasa nchini Tanzania, ni Kiongozi mwenye misimamo thabiti na ya kipekee, mwenye maamuzi makini yenye kushirikisha akili ipasavyo, ni msomi na mtaalamu wa uchumi, ni mtu ambay e hakati tamaa lakini pia ni mmoja katika watu ambao hawana hofu na hawaogopi..,hizo ni baadhi ya sifa zinazoambatana na Jina Ruyangwa Zubeir.

Binafsi nilikutana nae nikiwa nimemaliza kidato cha sita na naelekea kujiunga na Chuo Kikuu cha Mlimani - Dar es salaam. I didn't find him, he finds me.,kuanzia hapo akawa ni Kaka, Mshauri na Mwalimu wa siasa kwangu, tukashirikiana na kusaidiana katika kila lililohusu siasa na yaliyohusu maisha yetu nje ya siasa.

Siku moja alisafiri kuelekea Malaysia, akiwa huko akanipigia simu, akinieleza kuwa amepatwa na HOFU. Nikataka kuhoji juu ya hofu yake, akaniambia atazungumza na mimi akisharudi, kwa maneno yake alisema "Si vyema nikaielezea HOFU yangu kwa njia ya simu, tutazungumza" Nilimuelewa lakini nikabaki na sintofahamu na shauku ya kutaka kujua nini kilimfika Kaka yangu huyo kipenzi.

Aliporejea nchini, akafanya kama alivyoahidi, akaniita kuzungumza, ilikuwa ni Nyumbani kwa Kaka yake Zitto maeneo ya ADA estate Kinondoni, ndipo alipoizungumza hofu yake ambayo imekuwa ikimsumbua katika moyo na nafsi yake. Akanieleza "ndugu yangu, nimetumia nguvu kubwa ya kila namna katika kuijenga CHADEMA, nguvu na maarifa niliyowekeza ndani ya CHADEMA yanalenga kuboresha maisha ya watanzania na maisha yangu, lengo langu likiwa kuleta ukombozi wa kweli kwa watanzania, kuifanya CHADEMA kuwa mbadala wa CCM na kuipa nguvu CDM ili kuhakikisha inaikomboa Jamii iliyozama katika dimbwi la umasikini ya watanzania.."

Alipofika hapo, akaniangalia usoni na akatambua kuwa bado nilikuwa katika sintofahamu ya yale anayoyasema, akaendelea "Tumefanikiwa kuwafanya watanzania waiamini Chadema, lakini HOFU yangu ni kuwa hatujaiimarisha wala kuiandaa ipasavyo CDM kuwaongoza watanzania, bado katika chama chetu tunalo tatizo la Uongozi..,I HAVE A FEAR OF BEING RULED BY A LESSER"

Alipomaliza maongezi yake nikawa nimemuelewa nadhani kuliko mtu mwingine yeyote kwa wakati huo, na nikawa tayari kuungana nae katika kuondoa HOFU yake, hofu iliyojaa ndani ya kifua chake ya kuongozwa na watu dhaifu wasio na uwezo ndani ya Chama, wasio na maono, wasio na nia njema na waliokosa sifa kuu ya kiongozi bora ya UADILIFU. Zitto akanishauri nami nikaupokea ushauri huo kuwa "we should give the party A NEW BRAND..ili kiimarike zaidi na kiweze kuwakomboa watanzania.

Kwa bahati mbaya sana, na labda ni kwa sababu ya uchu wa madaraka, wenzetu hawakutuelewa, wakadhani na kufikiri kama alivyofikiri FARAO wakati MUSA alipomwambia, niacheni wana wa Israel wawe nyuma yangu, nitawaongoza katika nchi ya maziwa na asali.,Viongozi wa CHADEMA wakasema kama alivyosema FARAO, kuwa ninyi ni WASALITI, FARAO alimwambia MUSA nilikutwaa, nikakulea kama mwanangu na leo unataka kunisaliti..MUSA mwenye hekima aliyofundishwa na MUNGU mwenyewe, akawa hodari wa maneno na matendo akasema "SIFANYI haya kwa ajili ya nafsi yangu, bali kwa maslahi mapana ya Taifa hili" akawaambia maneno hayo wana wa Israeli pia kuwa " Njooni na mimi nitawaongoza njia, tokeni MISRI nitawaonyesha Nchi ya Maziwa na Asali:" nao wana wa Israeli hawakumsikiliza.

Ndio ni Zitto aliyeibua kashfa kubwa ndani ya Serikali na kuitingisha Serikali kwa kipindi chote alichokuwa bungeni, kwa HOJA zenye mashiko, ameibua kashfa za Buzwagi, Escrow na nyinginezo Kubwa ambazo zilitishia kuangusha utawala, hata mafanikio ya Upinzani katika chaguzi za hivi karibuni kwenye Serikali za mitaa unatokana na kazi hiyo ya Zitto bungeni, lakini bado WANA WA ISRAEL wanamuona ni MSALITI kwa sababu FARAO kawaambia kuwa huyo ni MSALITI.

CHAMA CHA SIASA hakiwezi kuendeshwa kwa matukio, ni siasa zilizopitwa na wakati kutengeneza matukio ili kukipa chama KICK, mara CCM wameingiza Kontena la kura feki, mara mashine za BVR zimechakachuliwa, mara DR Slaa anategewa sumu auawe, Mara CCM imeingiza mamluki wake ndani ya CDM na hivyo tutafukuza wasaliti wote, Mara mabomu kwenye mikutano yao, na kila kituko, CHAMA CHA SIASA HAKIFANIKIWI kwa kufanya siasa za vituko na matukio, muda wa kuomba sympathy kwa watanzania umeisha, CHADEMA kina umri wa miaka zaidi ya 20, KINGEWEZA KUWA TAYARI KIMEIMARIKA KAMA KINGEKUWA NA UONGOZI MAKINI NA IMARA, lakini bado kimebaki kuwa chama cha kiharakati ambacho watanzania bado wanahoji na wanakosa uhakika kuwa kinaweza kuwa chama cha siasa na kuweza kuwaongoza.

Zitto aliyaona haya miaka takribani 8 iliyopita, na akataka mabadiliko bahati mbaya akili ya ZITTO ilikuwa mbinguni na ALISHINDWA kui-connect ama kuwasiliama na WAFUASI na VIONGOZI waliopo ardhini na wengine ndani ya udongo ambao hawaoni chochote isipokuwa GIZA TOTORO, hakuna tofauti kwao baina ya mchana na usiku.

ZITTO atabaki kuwa MSALITI na CHADEMA itabaki kuwa ya WANAHARAKATI...
 
wanapropaganda naona mmeingia kazini ,kulinda na kutetea unafiki na uzandiki jaribuni kuwa fair msipotoshe jamii enzi zile za giza mlifanikiwa sana si enzi hizi z a digitali mtaumbuka
 
Ngoja waje wenye kuyashuhudia haya wayashuhudie maana umemfananisha ZZK na Musa aliye tumwa na Mungu. Kumbuka tu mpendwa Mungu kusudi lake huwa halikwami hata kama ni kwa gharama gani. Hata moyo wa Farao aliufanya mgumu ili wamtambue kuwa yeye ni Mungu anayepaswa kuabudiwa. Sasa sijui kama ni sawa kumfananisha ZZK na Musa aliyetumwa na Mungu. Kwa nielewavyo mimi hakuna mtu aliyetumwa na Mungu halafu kusudi lake halikutimia.
 
Wewe ni Juliana Shonza? Au kama kawaida yenu kucopy na kupaste? Nyinyi ni bure kabisa

Hii mada ililetwa asubuhi na huyo Shonza. Lakini Mods wameamua kuiunganisha na mada iliyoletwa miaka miwili iliyopita na Mwigulu. Sasa watu warudi nyuma wasome alichokiandika Mwigulu wakati huo kuhusu Zitto na tumkumbushe matukio ya hivi majuzi kule bungeni kisha tulinganishe CCM walisema nini wakati ule kuhusu Zitto na wamesema nini wakati huu.
Majibu utakayokuja kupata ni kama yale ya Wahandisi wa mnara wa Babeli. Kila mtu lugha yake, imagine Mmasai, Mmakonde na Msukuma uwape mjadala waujadili lakini kila mmoja anajua lugha yake tuu.
 
Last edited by a moderator:
ZITTO KABWE - THE REJECTED BRAINY.

Binafsi nilikutana nae nikiwa nimemaliza kidato cha sita na naelekea kujiunga na Chuo Kikuu cha Mlimani - Dar es salaam. I didn't find him, he finds me.,kuanzia hapo akawa ni Kaka, Mshauri na Mwalimu wa siasa kwangu, tukashirikiana na kusaidiana katika kila lililohusu siasa na yaliyohusu maisha yetu nje ya siasa.

Aliporejea nchini, akafanya kama alivyoahidi, akaniita kuzungumza, ilikuwa ni Nyumbani kwa Kaka yake Zitto maeneo ya ADA estate Kinondoni, ndipo alipoizungumza hofu yake ambayo imekuwa ikimsumbua katika moyo na nafsi yake. Akanieleza "ndugu yangu, nimetumia nguvu kubwa ya kila namna katika kuijenga CHADEMA, nguvu na maarifa niliyowekeza ndani ya CHADEMA yanalenga kuboresha maisha ya watanzania na maisha yangu, lengo langu likiwa kuleta ukombozi wa kweli kwa watanzania, kuifanya CHADEMA kuwa mbadala wa CCM na kuipa nguvu CDM ili kuhakikisha inaikomboa Jamii iliyozama katika dimbwi la umasikini ya watanzania.."

Alipofika hapo, akaniangalia usoni na akatambua kuwa bado nilikuwa katika sintofahamu ya yale anayoyasema, akaendelea "Tumefanikiwa kuwafanya watanzania waiamini Chadema, lakini HOFU yangu ni kuwa hatujaiimarisha wala kuiandaa ipasavyo CDM kuwaongoza watanzania, bado katika chama chetu tunalo tatizo la Uongozi..,I HAVE A FEAR OF BEING RULED BY A LESSER"

Alipomaliza maongezi yake nikawa nimemuelewa nadhani kuliko mtu mwingine yeyote kwa wakati huo, na nikawa tayari kuungana nae katika kuondoa HOFU yake, hofu iliyojaa ndani ya kifua chake ya kuongozwa na watu dhaifu wasio na uwezo ndani ya Chama, wasio na maono, wasio na nia njema na waliokosa sifa kuu ya kiongozi bora ya UADILIFU. Zitto akanishauri nami nikaupokea ushauri huo kuwa "we should give the party A NEW BRAND..ili kiimarike zaidi na kiweze kuwakomboa watanzania.

ZITTO atabaki kuwa MSALITI na CHADEMA itabaki kuwa ya WANAHARAKATI...

Ukweli naomba nikiri kabisa kwamba sikufahamu kama UDSM leo inatoa products kama mwalimu mwijage. Hivi na wewe ni university graduate???

Makambo toleka.

"Binafsi nilikutana nae nikiwa nimemaliza kidato cha sita na naelekea kujiunga na Chuo Kikuu cha Mlimani - Dar es salaam. I didn't find him, he finds me.,kuanzia hapo akawa ni Kaka, Mshauri na Mwalimu wa siasa kwangu, tukashirikiana na kusaidiana katika kila lililohusu siasa na yaliyohusu maisha yetu nje ya siasa."

Aibu aibu aibu.

Hakuna mtu cHADEMA anayehitaji opinions zako . Achaneni na CHADEMA, jengeni ccm na act zinazokufa. Kama ninyi ni viongozi bora kwa nini act imekushinda.?

Wwewe ni mwalimu wa wapi usiyejitambua lakini?
 
Mtoa maada hapo umeboronga, nijuavyo mimi sakata la ESCROW halikuibuliwa na Zitto bali liliibuliwa na David Kafulira, Mbunge wa Kigoma kusini
 
images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

Hii thread ni ya zamani sana lakini kama huyu aliyeandika haya maneno kweli ni bwana Mwigulu Nchemba baaasi kuanzia leo ninambatiza jina la LE MUTUZ JUNIOR.!!!!!!!!!
 
mwigulu nchemba we ni comedian to a king?? mchumia tumbo daraja la1,mipango yako miovu ya kishetani imefeli,daima mwanga hushinda giza.wewe ni mtumishi wa ufalme wa GIZA umehangaika sana watu kuteswa na kuuwa kwa kesi za uongo za ugaidi huku wewe MWIGULU MCHEMBA ulieiba jila la mtu wakat wewe ni(LAMECK MADELU MKUMBO) Ukiwa msuka mipango na gaidi no1 wa CCM
 
Mwingulu, wakati Zito anafukuzwa bungeni, kwa nini hamkumtetea kwamba anachokisema ni kweli na kinastahili attention ya serikali zaidi ya kumwita mwongo na mzushi?

Siyo hii hii ccm iliyokuwa inasema wapinzani ni wazushi kila walipoibua hoja? Inakuwaje leo unalamba uchafu wako?

Halafu na wewe eti unagombania uraisi!. Nani atakupa kura mtu myopic, malicious, mchonganishi na mwongo kama wewe?

BtW, huhitaji kupiga kelele hapa ajili ya zito kafanyiwa vibaya na CHaDEMA wakati hakutakiwa kuwa chini ya mtu yeyote maana anaakili kubwa kuliko binadamu wote. Sasa, MCHUKUE ZITO UMPELEKE CCM KAMA ULIVYOFANYA KWA JULIANA NA MWAMPAMBA, KISHA MMFANYE MWENYEKITI WENU WA TAIFA NA KISHA MMTEUE AWE MGOMBEA WENU WA KITI CHA URAISI KWA SABABU MNAMWONA ANA AKILI KUBWA NA HASTAHILI KUONGOZWA NA WATU ILA YEYE ANASTAHILI KUWA JUU YA WATU WOTE.

Sijui ni kiongozi wa aina gani asiyetaka kuongozwa. Hii ni model ya ccm peke yake! Chukueni zito wenu mmfanye mwenyekit wenu, na muache kutupigia makelele hapa!.

images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

mimi si mshabiki sana wa siasa ingawa huwa napitia taarifa mbalimbali ili kiwa up to date na taarifa ndani ya nchi yangu,

kwa kweli mimi sioni tatizo hapo, wao wana akili kubwa, wamefukuzwa ktk chama walichokuwapo, sasa wako ktk chama kingine, nadhani ni fursa kwao huko waliko kuonyesha hiyo akili kubwa waliyonayo na wanaweza kutimiza furaha yako mto mada.
 
Back
Top Bottom