Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

Mkuu naona wewe ndiyo limekugusa zaidi mpaka ukapost pole bwana vumilia.
 
Mnahangaika kweli na zitto kwa vile chadema imeamua kumuundia uongo ili wazee watawale milele msimchagulie marafiki.
 
Issue ya ZZK itapita kama moto wa mabuwa,safari yako kisiasa imeishia hapo,utajadiliwa leo na kesho hapa jf baada ya hapo kwishiney watakuwa wameshamaliza mazishi yako.CCM waliokuwa wanakutumia wamekufikisha hapo walipokuwa wanataka na wewe bila akili ukakubaliana nao,sasa furaha ya CCM IMEKAMILIKA,walikuwa wanakuogopa ndiyo maana wakakutega kwa pesa na wewe ukaingia kwenye mtego bila ajizi wmekunasa vilivyo,polee.
Naona mnajaribu kujipa faraja ambazo siyo saizi yenu motto wazito lazima uwaunguze tena nyie vibaraka wa mbowe na slaa mtajuta chama kitakufa sijui mtakula wapi.
 
Issue ya ZZK itapita kama moto wa mabuwa,safari yako kisiasa imeishia hapo,utajadiliwa leo na kesho hapa jf baada ya hapo kwishiney watakuwa wameshamaliza mazishi yako.CCM waliokuwa wanakutumia wamekufikisha hapo walipokuwa wanataka na wewe bila akili ukakubaliana nao,sasa furaha ya CCM IMEKAMILIKA,walikuwa wanakuogopa ndiyo maana wakakutega kwa pesa na wewe ukaingia kwenye mtego bila ajizi wmekunasa vilivyo,polee.

hapo kuna ukweli zzk kaingia kwenyemtego wa ccm nawamemmaliz vibaya sn bila yeye kujijua. Maadui wake wanampa sifa nyingi huko wanachama wake wakimwambia kwa huruma unpoenda sio lkn yeye anaendelea kuvimba kichwa kwa sifa za maadui wakd kumbe hajui wanammaliza.
 
Anaona fahari kushabikiwa na mashetwani maccm huku akipoteza imani kwa watanzania wapenda mabadiliko.hata hivyo kaonyesha usaliti wa hali ya juu ukisoma yale mawasiliano ya email za mwigulu,nchimbi na maccm wengine,lazima ujiridhishe kweli alikuwa anakisaliti chama na ndio alikuwa tageti ya wasisa na mchemba ya kuiua cdm.HONGERENI SANA KAMATI KUU KWA HATUA MLIZOWACHULIA HAWA WASALITI.MUNGU IBARIKI CDM NA WANACHADEMA WOTE WENYE ROHO SAFI.
 
Katika mkakati wa kuhakikisha chama cha mapinduzi kinabaki madarakani mbinu mbalimbali hutumika miongoni mwa mbinu hizo ni kuwalaghai viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani ili watumiwe inapobidi (poking)...wanasiasa wengi walioupinzani na ambao wamewahi kufanya kazi kwenye Idara ya usalama wa taifa wamekua nao wakitumiwa kwa staili hii ya kuwa poked.
 
mambo ya ajabu sana haya nilitegemea Wanachadema wangekuwa wanaandamana wakipinga kuwavua uongozi watu walio kuwa wachapa kazi njema

ajabu kijani ndiyo wanaandaa mabango tunajiuliza kulikuwa na nini nyuma ya pazia hadi mpinzani anakasirika safu ya mashambulizi inapopanguliwa !
Hiki ndicho kinachotushangaza wengi! Naamini hiki ni kipindi kigumu sana kwa CCM kwa sasa, maana wanalazimika kuanza kujipanga upya, huku mamilioni ya fedha waliyohonga kwa Zitto yakiwa yamekwenda bure.
 
Naona mnajaribu kujipa faraja ambazo siyo saizi yenu motto wazito lazima uwaunguze tena nyie vibaraka wa mbowe na slaa mtajuta chama kitakufa sijui mtakula wapi.

Hizo ngonjera za cdm kufa maskio yamezichoka.cdm ni mpango wa mungu haiwezi kufa kwa maneno yako ya kipuuz hapa jf.na kama mlimtegemea zitto aiue cdm mumekwisha kwani tumeshapiga chini,tafuteni ripota mwingine wa kuwapa siri za vikao kama alivyokuwa zitto.mawasiliano ya email za mwigulu na nchimbi yameonesha jinsi mlivyokuwa mkimtegemea kwa kuwapa updates za vikao vya cdm na sasa imekula kwenu.
 
Angekubali kuitwa john badala ya zuberi mambo huenda yangemuendea vizuri.
John Shibuda? au Kitila Mkumbo? au Samson Mwigamba? au Juliana Shonza, au Mtela Mwampamba? Hueleweki we kiazi cha lumumba, sema unataka nini?
 
Chadema mnakazi nzito kupanga tena chama maana ufa uliopo kz kubwa kuuziba. Km nikwel fanyen mikutano kuelimisha wanachadema nchi nzima kwa maana vijan wengi hawaamin km nikwel Zitto kawa msaliti na wengi wanasema km Zitto atahama chama watamfuata. Kazi kwenu
 
Ni maamuzi gani magumu yaliyowahi kufanywa na CCM yakawafanya CHADEMA waitishe press conference? Au ni kushindwa kwa mpango wa kujivua gamba? CCM haijawahi kufanya maamuzi magumu ya kuikuna CHADEMA. Mlimfukuza uanachama yule mbunge wenu wa Zanzibar na hakuna mwanaCHADEMA hata mmoja alianzisha hata thread kulijadili hilo. Hakuna jambo kubwa la CCM la kuifanya CHADEMA iitishe press conference.
Kwamba tunajenga justification ya usaliti wa Zitto kwa kutumia nyaraka za kusadikika hilo halina manitiki. Ikumbukwe kwamba hukumu ile ilitolewa huku Zitto na Kitila mwenyewe, wakiwa ndani ya Kikao. Na gazeti la mwananchi limeeleza kwamba Kitila alikiri kuhusika na waraka uliokutwa kwenye laptop ya Mwigamba. Sasa wewe una hoja gani nyingine ya kumtetea Zitto?

Acha hadithi za kusadikika wewe, usipende wapuuzi kama Mbowe na Slaa wakakuaminisha mambo ya kipuuzi. Wakati mwingine jifunze kuangalia mambo kwa jicho la tatu.

Z
 
Na Zitto kama kweli hana hatia basi alitolee kauli hili la CCM kumtetea na kumshangilia kila anapoingia katika mgogoro na chama chake. Hii trend imempunguzia sana kuaminika na kumuua kisiasa kwenye chama chake. Cha ajabu haonekani kutambua madhara ya kuwa mwanachama wa Chadema huku mashabiki na wafuasi wake wengi ni wanachama wa CCM.
 
Mara kadhaa nimekuwa nikimwandikia Zitto kumuuliza hivi ni kwanini kila siku yeye tu? Kwanini asisemwe mtu mwingine?

Siku zote Zitto amekuwa akijitetea kwamba hahusiki na wala hajui chochote kuhusu hayo yanayosemwa juu yake. Lakini katika hali ya kushangaza, tangu CHADEMA ifanye maamuzi magumu ya kuwavua vyeo Zitto na Kitila, wanaCCM ndiyo wameonekana kuwa na uchungu zaidi na maamuzi haya. Hata Mwigulu Nchemba ambaye tumekuwa tukimjua kama mpinga CHADEMA kwa kila hali, ameanza kuropoka kama mwehu akipinga kitendo kilichofanywa na CHADEMA.

Hivi kama CHADEMA wamefanya maamuzi mabaya, yenye madhara kwa chama, ni kwanini wanaCCM wasishangilie kwa kuamini kwamba CHADEMA itadhoofika, na hatimaye wao waendelee kushika dola? Ni kwa vipi, tuanze kuona akina Ridhiwani wakiibuka na kuponda maamuzi haya, kana kwamba wanaitakia mema CHADEMA? Na kwanini Pro CCM wote wa hapa Jamiiforums nao wameungana na wanaLumumba kushambulia maamuzi ya CHADEMA? Kwa hiki tu, yafaa tujifunze jambo hapa.

CCM wamepata mshituko baada ya kuona kwamba wale waliokuwa wanawatumia katika kukiumiza chama hawatatumika tena. Kama wanaCHADEMA hatutamtetea yeyote kati ya hawa waliofukuzwa kwa kuwa ushahidi upo dhahiri kwamba walikuwa ni wahaini. Mtu kama Zitto alitajwa waziwazi na Ben Saanane kuwa ni engineer wa uasi ndani ya chama. Kama Zitto alijua amesingiziwa kwanini hakumshitaki Ben mahakamani au hata chamani? Zitto anajua alichokuwa anakifanya!

Zitto alitishia kupeleka mahakamani vifaranga na mama zao wanoeneza uongo juu yake na hasa baada ya kuvuja kwa ile report ya siri. Lakini mwisho wa siku Zitto kaenda polisi kuomba ulinzi badala ya kupeleka kesi mahakamani. Si awe mkweli tu?

Naipongeza kamati kuu ya CHADEMA kwa maamuzi haya makubwa na magumu.

it is obvious. Giza si rafiki wa nuru/mwanga
 
Last edited by a moderator:
mambo ya ajabu sana haya nilitegemea Wanachadema wangekuwa wanaandamana wakipinga kuwavua uongozi watu walio kuwa wachapa kazi njema

ajabu kijani ndiyo wanaandaa mabango tunajiuliza kulikuwa na nini nyuma ya pazia hadi mpinzani anakasirika safu ya mashambulizi inapopanguliwa !

Teh teh teh!!!! Tutaandamana kupongeza kamati kuu
 
Chadema mnakazi nzito kupanga tena chama maana ufa uliopo kz kubwa kuuziba. Km nikwel fanyen mikutano kuelimisha wanachadema nchi nzima kwa maana vijan wengi hawaamin km nikwel Zitto kawa msaliti na wengi wanasema km Zitto atahama chama watamfuata. Kazi kwenu
Ninakumbuka sana mwaka 1995, pale Nyerere alipowakataa Kikwete na Lowassa, na hao wanaoitwa vijana wakatupa kadi za CCM na kujiunga na NCCR mageuzi na mwisho wa siku hao hao wakampigia kura Mkapa. CHADEMA haiwezi kufa kutokana na kuondoka chamani kwa mtu mmoja binafsi. CHADEMA itakufa iwapo mfumo wa uendeshaji wa chama utavurugwa kama ambavyo Zitto na kundi lake walitaka kufanya.
 
Ni mtu mzima yule anajua upi mchele na chengaa, mwacheni afanyeeee maamuziii mwenyewe.
 
Watu mna maswali ya kipuuzi, mbona ya CCM huwa yanawagusa Chadema hadi mnaitisha press conference na mikutano ya hadhara. Kwa mawazo yako unataka kujustify usaliti wa Zitto kwa kutumia comments za CCM? Huo ni upuuzi na pengine ndio maana mmemuhukumu Zitto na Kitila kwa nyaraka za kusadikika.
Akili yako yawezapimwa na avator yako hapo juu, kwa namna nyingine ungejua kama hicho ki avator kinatafsiri uwezo wako wa kufikiri kwamba upo chini ya umri wako kwa zaidi ya decade 2 (miaka >20) hata usingethubutu kuchangia. Pole sana kwani mtaji wa ccm wa ushindi umejikita ktk umaskini na ujinga wa watanzania, hilo la ujinga unahusika.
 
Back
Top Bottom