Mkuu Mwigulu Mchemba, japo huwa sikubaliani na baadhi ya hoja zako, lakini kwa hili la Zitto, nakubaliana na wewe.I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.
Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA
Naunga hoja mkuu. Mbona wanaccm wameumia sana hata magazeti mengi vbaraka wanaponda maamzi ya CDM.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,![]()
Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.
Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.
Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.
Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.
I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Mkuu Mwigulu Mchemba, japo huwa sikubaliani na baadhi ya hoja zako, lakini kwa hili la Zitto, nakubaliana na wewe.
Naomba kabla sijachangia, kwa vile wewe ni kiongozi wa CCM, kitendo tuu cha kukuunga mkono hoja yako, kutapelekea wale wanaonidhania mimi ni CCM, kuthibitisha kuwa CCM wanasuportiana!, hivyo naomba ku declare interest kuwa Mimi Pasco wa JF, sio CCM, na sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, ila nasupport hoja zenye mashiko kutoka upande wowote, chama chochote na mwanasiasa yoyote, hivyo kwenye hili la ZZK, nakubaliana na wewe!.
Kwa wale mnaondania Pasco wa jf ni CCM, kanisomeni hapa CCM Imechokwa!. na hapa Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!na hapa Yametimia!, CCM Imechokwa!, 2015, Chadema Ikulu Njia Nyeupe ...
Nikirudi kwenye mada, hili la akili ndogo kuongoza akili kubwa, ndicho kinachofanywa na CCM kwa Watanzania wote miaka nenda miaka rudi, CCM ikijihesabu ni akili kubwa, huku kituhesabu sisi wananchi ni akili ndogo!.
Kufuatia CCM kuwa akili kubwa na sisi ni akili ndogo, ndio maana tumekubali kwa ridhaa yetu wenyewe kuichagua CCM kuendelea kutuongoza na 2015 tutaichagua tena, na tena, na tena mpaka utakapofika wakati wa Chadema nayo kuwa akili kubwa!.
Kwenye ile mada yangu ya CCM Imechokwa, nilisema CCM inashinda kwa sababu inatake advantage ya ignorance ya Watanzania, kwa kuwadanganya miaka nenda miaka rudi, ikiamini itaweza kuendelea to fool all the people all the time!, kitendo cha Chadema kuwaamsha wanaichi so that they can't be fooled all the people all the time, kumepelekea CCM, ikakikishe Chadema inabaki kuwa ni akili ndogo, hivyo japo wana CCM wanajifanya kumhuzunikia ZZK, kimoyo moyo mnafurahi kwa sababu mnajua, bila watu kama ZZK, 2015 ni ushindi wa ubwete!.
CCM Hoyee!.
Pasco.
Hiki ndicho wapuuzi kina Mwigulu, Nchimbi, Lukuvi na Zitto wanafanaya. Nadhani ni kwa manufaa yako pia.
Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <[email protected]> >
To: Emmanuel Nchimbi < [email protected] >
On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <[email protected]> wrote:
sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde
MN
2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < [email protected] >
bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma
Sent from my ipad
On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <[email protected]> wrote:
Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni
MN
Tafakari chukua hatua hayo maandishi mekundu ni ya Mwigulu. Kasimamishwa tayari naomba Mungu aondoke au aondolewa ili mapambano yawe ya halali
Zitto alitengeneza mtandao wake wa siri unaoelezwa hapa. Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo huu hapa
Lengo la mtandao huo ni Zitto KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA.
Lengo hilo si baya, lakini namna ya kulifikia, ilikuwa ni kwa gharama yoyote hata kama CHAMA kitavurugika.
Zitto alipata support kubwa toka CCM na hata hapa JF CHAMVIGA, ZeMarcopolo, FaizaFoxy, Chabruma, Simiyu Yetu, Shelui, Mwigulu Nchemba, Taswira, MwanaDiwani, Ritz, TandaleOne n.k. walikuwa wanashambulia CHADEMA huku wakimlinda Zitto kwa nguvu zao zote. Baadhi ya dhihaka waliyokuwa wakiitupia Chadema.
- Chadema hawana ubavu wa kumgusa Zitto, wakimgusa tu wamekwisha!
- Chadema wanawashughulikia tu vidagaa, hebu kama wana ujasiri wamguse Zitto!
- Viongozi wa Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Zitto au Shibuda.
- Zitto ndiye nguzo ndani ya Chadema wakimgusa tu chama kinasambaratika.
- Vijana wengi wanaokiunga mkono Chadema ni kwa sababu ya Zitto.
- Sasa hawa Chadema kama hawampendi Zitto si wamfukuze waone kitakachofuata.
- Umaarufu wa Chadema umetokana na jitihada za Zitto.
- Mbowe na Slaa si chochote, si lolote kwa kijana Zitto.
- Siku Zitto akiondoka Chadema tu na Chadema inakufa.
- Zitto ni zaidi ya Chadema.
Sasa Zitto kavuliwa uongozi CHADEMA, na ndani ya siku 14 atafukuzwa CHADEMA.
Zitto akihamia CCM atasaidia sana kuimarisha CCM Kigoma, ambapo kati ya majimbo 8 CCM iliambulia majimbo matatu tu tena kwa mbinde sana. Bila shaka CCM watampokea kwa kuwa wanapenda kurudisha viti hivyo vitano mkoani Kigoma.
Zitto ni kiongozi mwenye karama kubwa na mvuto kwa jamii, na akihamia CCM atapenda, kama ambavyo alipenda akiwa CHADEMA, karama hiyo yake aitumie kufikia kwenye nafasi za UONGOZI WA JUU KABISA. Uenyekiti wa CCM.
Wanaounga mkono CCM humu jamvini CHAMVIGA, ZeMarcopolo, FaizaFoxy, Chabruma, Simiyu Yetu, Shelui, Mwigulu Nchemba,[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=114003"]Taswira[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=132973"]MwanaDiwani[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=34266"]Ritz[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=25971"]TandaleOne[/URL] [/B][/B][/B]waliamini kuwa Zitto alikuwa sahihi kufanya aliyoyafanya kwa namna alivyofanya akiwa CHADEMA.
Bila shaka watampa ushirikiano kuyafanya hayo hayo, ndani ya CCM kwa kutumia namna hizo hizo.
CCM,[B][B][B] [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1681"]Zitto[/URL] [/B][/B][/B][/B]yuko mlangoni anabisha hodi, anataka kuingia, mkaribisheni. Lakini hataki kufikia sebuleni tu, anataka mpaka ndani kabisa, kwenye KITI cha Mwenyekiti wa CCM. Anaomba mumpe ushirikiano na mvumilie mbinu zote atakazotumia kufikia azma yake.
Hiki ndicho wapuuzi kina Mwigulu, Nchimbi, Lukuvi na Zitto wanafanaya. Nadhani ni kwa manufaa yako pia.
Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <[email protected]> >
To: Emmanuel Nchimbi < [email protected] >
On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <[email protected]> wrote:
sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde
MN
2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < [email protected] >
bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma
Sent from my ipad
On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <[email protected]> wrote:
Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni
MN
Tafakari chukua hatua hayo maandishi mekundu ni ya Mwigulu. Kasimamishwa tayari naomba Mungu aondoke au aondolewa ili mapambano yawe ya halali
Mheshimiwa, wewe unacheo kikubwa ndani ya chama. Hutakiwi kuyazungumzia haya kwa hali hii hata kama ni propaganda. Sijui unazungumza kama kiongozi wa chama au kama wewe tu? Hata hivyo CDM ni taasisi kama CCM. Kuheshimu maamuzi ya taasisi yoyote kwa kiongozi kama wewe ni vizuri sana. Achana na siasa za Le Mutuz!
Akili yako yawezapimwa na avator yako hapo juu, kwa namna nyingine ungejua kama hicho ki avator kinatafsiri uwezo wako wa kufikiri kwamba upo chini ya umri wako kwa zaidi ya decade 2 (miaka >20) hata usingethubutu kuchangia. Pole sana kwani mtaji wa ccm wa ushindi umejikita ktk umaskini na ujinga wa watanzania, hilo la ujinga unahusika.
Kama iliwezekana kutengeneza Invoice fake... Waraka wa siri ambao baadae mkaukana... inashindikana vipi kutunga haya mawasiliano??? Tumieni busara... mnalalamikia mikakati kwa kupitia mikakati yenu!!..