Labda wajinga ndio unaweza kuwaambia hili, kama bei ya mafuta ya kula na sukari tu imewashinda kushusha, ndio itakuwa hiyo ya umeme wa 10t ya mkopo?
Kuna yule dogo aliyeitwa njuka na mdee, kuna huyo kibajaji, kuna msukuma,, huku speaker na pm wakifurahia ,,lakini maneno yao yanambeza mama yetu moja kwa moja.
Mama achukue hatua za haraka,, la sivyo wataendelea kumtaka afate nyayo za jpm.
Japo moja ya nyaoyo za jpm ni kuwananga watangulizi wake. Ila naona kuna vijitu vinataka kumcontroll mama. Avichape hivi ili wengine washike adabu zao.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wasomi na marisechi yenu halafu bado wapuuzi tuKibajaji nae anajilinganisha na Muhongo,
Kweli hii ni hatari sana. Sijawahi ona, ukiangalia hata anachoongea ni porojo tu. Hakina hata research yoyote, hakina data, yaani ni vitu vya kufikirika tu.
Duh, je investment ya umeme wa nchi aina gani hiyo inayorudishwa kwa siku moja?Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.
Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.
Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?
Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.
Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele
CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Sidhani kama lengo la serikali ni kusubiri pay back ndiyo ipunguze bei.Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.
Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.
Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?
Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.
Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele
CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Wako wenyewe bungeni lakini wanatiana vidole machoniLeo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.
Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.
Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?
Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.
Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele
CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Huyo aliipuuza elimu na kuidharauIla sugu kujilinganishaa na Prof kabudi ni sawa?
Kushangilia na kugonga meza kwa nguvu huku wakitoa vicheko vya kejeli na tambo zinazojuza wao ni kina nani NDIO SIFA YA UZALENDO NA KUSAIDIA TAIFA!!! Midhali posho zaenda mifukoni wana hasara gani kwa faida yao ya leo...Duu!
Umetema madini ya hatari! Mungu akubariki.
Jambo la kusikitisha ni,tangu walipojaza hao darasa la saba bungeni,wajinga wameongezeka sana nchi hii. Hivyo,mwerevu akitoa hoja hawaelewi kabisa!
Halafu,jambo la kushangaza,hao darasa la saba serikali ya Magufuli iliwaomdoa serikali hata kwenye kazi za chini kabisa kama umesenja na udereva. Lakini wakajazwa bungeni,ili washabikie hoja za kijinga za kubeza mawazo ya wenye akili!
Nimegundua kwanini wagogo wengi ni ombaomba kwa ukichukuwa case study ya kibajaji Lusinde na Ndugai ka sample.Kwa akili hizi lazima washindwe kujimudu kimaishaLeo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.
Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.
Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?
Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.
Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele
CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.
Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.
Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?
Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.
Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele
CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Kwenye psychology kuna element fulani inayosema kuwa watu wenye mapungufu dhidi ya wenzao hupanda sana kuwadharau hao wanaowazidi na wakifanikiwa na kitu chochot kidogo cha kuonyesha kuwa "hata kama amenizidi kule nimezidi huku," basi hupiga kele sana. Psychology hiyo huwa imekuwa inawaandama sana wasomi, kwani kwa vile usomi siyo utajiri, utasikia mtu anasema yule kasoma ana Ph.D lakini mimi nina hela sana ninaweza kumwajiri na wala hanitishi. Bajaji na Musukuma wanasumbuliwa sana na psychology hiyo. Yaani kwao wao kutokukubaliana na hoja za Muhongo wanachukulia kuwa ni makosa ya Muhodno bila kuhodi depth ya ufahamu wao wenyewe. Kinachomata kwao ni Ph.D. na uprofesa wake tu.Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.
Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.
Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?
Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.
Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele
CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Kwa hiyo serikali ndiyo inazalisha mafuta ya uto na sukari!!!?
Wewe unatetea mradi upi?Bado tuna safari ndefu kwani watu kama nyinyi bado mpo wengi wenye mawazo ya kutetea huo mradi wa MNHP
Wao ndio hupanga bei elekezi, kama serekali haihusiki na upandaji na ushukaji wa bei, nunua gari lako la abiria leo uweke nauli utakayo kisha ulete mrejesho.