Alichohoji Profesa Muhongo ni kama bei ya umeme itakuwa nafuu kuanzia siku ya kwanza au baada ya kurudisha gharama za uwekezaji?

Labda wajinga ndio unaweza kuwaambia hili, kama bei ya mafuta ya kula na sukari tu imewashinda kushusha, ndio itakuwa hiyo ya umeme wa 10t ya mkopo?

Kwa hiyo serikali ndiyo inazalisha mafuta ya uto na sukari!!!?
 
Kuna yule dogo aliyeitwa njuka na mdee, kuna huyo kibajaji, kuna msukuma,, huku speaker na pm wakifurahia ,,lakini maneno yao yanambeza mama yetu moja kwa moja.
Mama achukue hatua za haraka,, la sivyo wataendelea kumtaka afate nyayo za jpm.
Japo moja ya nyaoyo za jpm ni kuwananga watangulizi wake. Ila naona kuna vijitu vinataka kumcontroll mama. Avichape hivi ili wengine washike adabu zao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Wee nenda kifiningile, maana huna hoja.
 
Kibajaji nae anajilinganisha na Muhongo,
Kweli hii ni hatari sana. Sijawahi ona, ukiangalia hata anachoongea ni porojo tu. Hakina hata research yoyote, hakina data, yaani ni vitu vya kufikirika tu.
Wasomi na marisechi yenu halafu bado wapuuzi tu

Hamna akili ila mlikuwa na uwezo mkubwa kukariri darasani
 
Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.

Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.

Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?

Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.

Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele

CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Duh, je investment ya umeme wa nchi aina gani hiyo inayorudishwa kwa siku moja?
 
Likitajwa jina muongo najisikia vibaya,hiyo hela ni kodi zetu yeye kinamuuma nini sisi wa hali ya chini kupata umeme wa bei ndogo,wasomi wa tz ni hasara,shida ya mhongo anatumika na mabeberu,Kuna mbunge anashauri tukakope nani atazilipa?ukisikia huyo ni msomi. Tafasiri yake ni jizi, wasomi ndoo wametufikisha hapa leo,
 
Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.

Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.

Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?

Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.

Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele

CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Sidhani kama lengo la serikali ni kusubiri pay back ndiyo ipunguze bei.

Unapozungumzia Umeme unagusa sekta nyingi ambazo zote zinachangia ukuaji Wa uchumi. Tunapolalamika kwamba bidhaa zetu haziwezi kushindana na bidhaa za nje, mojawapo ya sababu ni bei kubwa ya Umeme.

Nilidhani Profesa wetu angewaza matumizi ya Umeme nafuu kwa upana wake.
 
Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.

Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.

Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?

Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.

Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele

CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Wako wenyewe bungeni lakini wanatiana vidole machoni
 
Ila sugu kujilinganishaa na Prof kabudi ni sawa?
Huyo aliipuuza elimu na kuidharau
Duu!

Umetema madini ya hatari! Mungu akubariki.

Jambo la kusikitisha ni,tangu walipojaza hao darasa la saba bungeni,wajinga wameongezeka sana nchi hii. Hivyo,mwerevu akitoa hoja hawaelewi kabisa!

Halafu,jambo la kushangaza,hao darasa la saba serikali ya Magufuli iliwaomdoa serikali hata kwenye kazi za chini kabisa kama umesenja na udereva. Lakini wakajazwa bungeni,ili washabikie hoja za kijinga za kubeza mawazo ya wenye akili!
Kushangilia na kugonga meza kwa nguvu huku wakitoa vicheko vya kejeli na tambo zinazojuza wao ni kina nani NDIO SIFA YA UZALENDO NA KUSAIDIA TAIFA!!! Midhali posho zaenda mifukoni wana hasara gani kwa faida yao ya leo...
 
Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.

Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.

Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?

Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.

Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele

CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Nimegundua kwanini wagogo wengi ni ombaomba kwa ukichukuwa case study ya kibajaji Lusinde na Ndugai ka sample.Kwa akili hizi lazima washindwe kujimudu kimaisha
 
Ishakuwa na msaada kitambo kwenye fani yake, pia suala la miradi hatuangalii matokeo yenyewe, ila na visababishi vya hayo matokeo na sustainability yake
 
Wewe humjui.Muhongo, Muhongo alidha wahi kusema umeme wa maji umepitwa na wakati.

Muhongo huwa namwona kama wakala wa mabeberu kama symbion na wale walioshikiria gas yetu kule mtwara.

Msukuma yupo sahihi kabisa kusema wasomi hawafilirii vizuri, wanadhani mavyeti yao ndio yanafikiria na kutoa maamuzi.

Muhongo anapotosha taifa.
Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.

Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.

Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?

Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.

Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele

CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
 
Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.

Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na utafiti lakini siyo siasani hasa Bungeni.

Imenibidi nifuatilie kujua huyu Muhongo anayeshambuliwa ameongea nini?

Kumbe Muhongo hajasema umeme wa maji mbaya bali inachukua muda mrefu sana kurejesha gharama ndio akahoji labda kama bei nafuu itaanza kutumika day one bila kujali pay back period.

Mantiki yake ni kuwa bei inaweza kuwa kubwa hadi mradi utaporudisha gharama zake, ambayo huwa ni miaka mingi mbele

CCM mko peke yenu bungeni hakuna wa kumsingizia.
Kwenye psychology kuna element fulani inayosema kuwa watu wenye mapungufu dhidi ya wenzao hupanda sana kuwadharau hao wanaowazidi na wakifanikiwa na kitu chochot kidogo cha kuonyesha kuwa "hata kama amenizidi kule nimezidi huku," basi hupiga kele sana. Psychology hiyo huwa imekuwa inawaandama sana wasomi, kwani kwa vile usomi siyo utajiri, utasikia mtu anasema yule kasoma ana Ph.D lakini mimi nina hela sana ninaweza kumwajiri na wala hanitishi. Bajaji na Musukuma wanasumbuliwa sana na psychology hiyo. Yaani kwao wao kutokukubaliana na hoja za Muhongo wanachukulia kuwa ni makosa ya Muhodno bila kuhodi depth ya ufahamu wao wenyewe. Kinachomata kwao ni Ph.D. na uprofesa wake tu.
 
Kwa hiyo serikali ndiyo inazalisha mafuta ya uto na sukari!!!?

Wao ndio hupanga bei elekezi, kama serekali haihusiki na upandaji na ushukaji wa bei, nunua gari lako la abiria leo uweke nauli utakayo kisha ulete mrejesho.
 
Wengine hatujui hata cha kuchangia
Muhongo tapeli
Kibajaji a clown..
 
Hawa maprof wamejitakia haya madhila kwa kuacha taaluma zao na kukimbilia siasa acha wachezee vitasa kwanza vya mangumbaru adi akili ziwakae sawasawa
 
Ila Ndugai ni Mnafiki sana wakati Hayati Magufuli anawateua Maprof.kuwa Wabunge na Makatibu Wakuu mbona nakushauri wabaki Kufundisha?
 
Wao ndio hupanga bei elekezi, kama serekali haihusiki na upandaji na ushukaji wa bei, nunua gari lako la abiria leo uweke nauli utakayo kisha ulete mrejesho.

Ni kweli kuna bei elekezi, lkn siyo kwa kila kitu. Kuna vitu vingne inaachiwa nguvu ya soko iamue.
 
Hatutaki tena kusikiliza maneno ya wajinga walitutia hasara nchi hii. Muhongo ni Ntu wa dili
 
Back
Top Bottom