Kafanya kazi UN shirika gani la UN, mwaka gani, ofisi gani, kazi gani?Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Wewe una matatizo ya akili, nyie ndo virusi mnaotendelea kutetea uozo na kuliangamiza taifa hili, taja ni mwaka gani na nafasi gani Samia alifanya kazi UN kumpatia huo mshahara au ni shirika gani Samia alifanya kazi kumuwezesha kuwa na mabilion ya pesa, uzuri ukiwa kwenye nafasi aliyopo yeye hakuna sehemu utapita ikaachwa kuwa documented, embu taja hapa hizo sehemu? Ni aibu kubwa sana kwako na familia yako kutetea ujinga kama huu.Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Tanzania kuna mijitu mijinga Sana mojawapo wewe,Hamnazo kabisa 0 brainRais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
.....ulitaka kuandika UV-CCM!!!!?. Hajawahi kufanya kazi UN na thubutu kutaja shirika moja la kimataifa lililowahi kumuajiri.Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Nimekupa homework fuatiliaKafanya kazi UN shirika gani la UN, mwaka gani, ofisi gani, kazi gani?
Nimekupa homework fuatilia
Hapana, hujafikia uwezo wa kunipa homework bado.Nimekupa homework fuatilia
Kabisaa una akili sana wewe...Watanzania sijui mpoje mnatetea vitu vya kipuuzi sana tena sana sijui kwa nini....Wacha waendelee kuiba kwa ajili ya watu kama nyinyi.Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.
Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
Kwanza, keshafanya kazi kimataifa wapi? UN kafanya wapi na lini?Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
verification unafanya muda huu, post ilivyotolewa kuna watu walifanikiwa kuscan na kuleta taarifa, I doubt kama hawaja ondoa hizo taarifa kwenye mfumo baada ya hiyo taarifa kuingia mitandaoni.Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.
Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
Nakuheshimu sana ila kwa hili jibu lako Wewe ni kichaa/ wahi mirembe mental hospital dodoma asubuh na mapema.Nimekupa homework fuatilia