Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #41
Nakubalina na wewe, maana nikiwa uwanjani nangalia mpira, mipira ya pasi nzuri za kuelekezwa golini najiona ningekuwa mimi ningepiga bonge la shuti na kufuga goli, huku nikipiga mguu hewani!.Paskali, professional na siasa haviendani, yaani hata msigwa ni bahati tu kufanya hivyo akiwa hapo America ila akiwa hapa ikulu ni ngumu sana.
Kwa dadaenu zuhura pia ni vigumu kufanya hicho unachotaka, bahati mbaya upo nje ya field ila ukibahatika kuingia and in one week tu ahahahaa, sijui kama utaandika uliyokutana nayo huko.
Kila ofisi ina utaratibu wake ila hatuhufahamu kwa sababu tupo kwa nje.
Hahahahaha humu jf wakati mwingine ukiwa na stress zinaisha instantlyUshaanza kumsagia kunguni dada aliyetoka BBC . Mayala usijenge chuki kwakua hawakuoni endelea kupambana siku yako ipo kaka.
Yaani wewe ni kijana uliyeezeshwa kwa chukiWengine tunalala muda si mrefu.
Maada hii ngumu bora tulale tu!![emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]Wengine tunalala muda si mrefu.
Sio hivyo bali mlengwa ni mtalii wa nje na hivyo kule ndio kunaibeba kwanza kabla ya kuletwa huku na kufanyiwa Swahili subtitles!Royal tour ni idea ya mzungu... haiwezi zinduliwa bongo
Baada ya kuona hatuteuliwi na wale tuliokuwa tukiwadharau na Sisi tunaojifanya Manguli wa Tasnia na wenye Akili Wakiteuliwa na Sisi kuendelea tu kupiga Kazi za Deiwaka katika Media na Maisha yakitupiga sasa tumeamua Kujipendekeza kwa Wateuwaji na Wasaidizi Kiutendaji wa Mteuwaji akina Msigwa na Dkt. Abbas ili basi nao wakiwa karibu na Mteuwaji wa Nafasi za Nyadhifa waweze Kutuombea ( Kutupigia Chapuo ) ili ikiwezekana katika Teuzi zijazo basi nasi Wanafiki tuwezee Kuula ili tupate Unafuu wa haya Maisha yetu Magumu ( ambayo hatukuyategemea ) tunayoyapitia sasa.Wanabodi,
leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio.
All and all, hongereni sana for all that you are doing, Leo sisi huku Bongo ni hakuna kulala mpaka hiyo saa 8:30 usiku wa manane.
- Nikashuhudia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akirudia kazi yake ya zamani ya utangazaji wa TV Reporting akiripotia TBC live mubashara moja kwa moja kutokea jijini New York, nchini Marekani kutuarifu maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour, utakaofanyika usiku huu mida ya Saa 1:30 Kwa saa za Marekani ambapo ni saa 8:30 za usiku wa manane kwa saa za Tanzania.
- Msigwa ambaye sasa ndiye Msemaji Mkuu wa Serikali, amejikumbusha enzi zake za utangazaji, kwa kumhoji Msemaji Mkuu wa Serikali mstaafu Dr. Hassan Abasi ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo na Utamaduni na ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya filamu ya Royal Tour,
- Dr. Hassan Abbas amesema uzinduzi utahudhuriwa na wageni mashuhuri 400 akiwemo Mayor wa Jiji la New York.
- Kitendo cha Msemaji Mkuu wa Serikali kumhoji Msemaji Mkuu wa Serikali mstaafu ni mahojiano ya kupendeza Sana.
- Kiukweli kipaji cha TV Reporting na composeture yake, hiki ni moja ya vipaji vikubwa sana ambavyo TBC ilivipotezea serikalini. Ndani ya TBC anayemkaribia Msigwa ni Khalid Gangana.
- Hongera Sana Gerson Msigwa kurudia kazi yako ya utangazaji!. Hiki ulichokifanya leo jijini New York, nchini Marekani, ndicho ulipaswa ukifanye Ikulu yetu, siku zote ilipokuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.
- Kazi ya Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu, sio tuu ni kuandika Press Release, bali pia kuiripoti direct from Ikulu kwa piece to camera kama ulivyo fanya leo.
- Ulipaswa kuturipotia shughuli muhimu za rais ikitokea Ikulu, na kuiripoti moja kwa moja into the news.
- Pia ulipaswa kuitisha Press Conference na kufanya Press Briefing kwetu sisi waandishi kama walivyofanya Balozi Choks, Balozi Nkurlu na Balozi Kalaghe, na kama wafanyavyo ma Press Sec wa wenzetu Duniani.
- Naamini Zuhura Yunus hata kuwa Bubu, ikitokea rais ana shughuli muhimu, asiishie kutusambazia just a press release bali sasa sambazeni multi media release yenye press release, photo gallery, audio footage, TV footage, social media footage na Peace to Camera.
Tunawasubiria tushuhudie.
Paskali.
Mabandiko mengine kuhusu Royal Tour
Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...www.jamiiforums.com Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya Leo ikiwa ni makala ya swali la hypothetical question (swali la kufikirika), Kwa njia ya "thinking aloud", yaani unawaza kwa sauti. Hii ni makala mwendelezo wa makala hii Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN...www.jamiiforums.com Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!
Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!. Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...www.jamiiforums.com
Pascal analea mwenzakoHivi Pascal Mayalla ndugu yetu ulipigwa biti na serikali nini, mbona umekuwa hadimu sana siku hizi? What's happening my brother?
Mimi ni kawaida yangu, kwenye mazuri napongeza, na ikitokea issue ya spana, napiga spana, ila spana zangu sio spana tuu ili mradi kupiga spana, spana zangu ni constructive criticism huku nikitoa ushauri wa the right thing to do.Baada ya kuona hatuteuliwi na wale tuliokuwa tukiwadharau na Sisi tunaojifanya Manguli wa Tasnia na wenye Akili Wakiteuliwa na Sisi kuendelea tu kupiga Kazi za Deiwaka katika Media na Maisha yakitupiga sasa tumeamua Kujipendekeza kwa Wateuwaji na Wasaidizi Kiutendaji wa Mteuwaji akina Msigwa na Dkt. Abbas ili basi nao wakiwa karibu na Mteuwaji wa Nafasi za Nyadhifa waweze Kutuombea ( Kutupigia Chapuo ) ili ikiwezekana katika Teuzi zijazo basi nasi Wanafiki tuwezee Kuula ili tupate Unafuu wa haya Maisha yetu Magumu ( ambayo hatukuyategemea ) tunayoyapitia sasa.
Subscribe Amazon Prime utauona mzigoLink ya Royal Tour imekuwa ngumu kupatikana aisee niesearch mpaka kidole kimeota sugu
Basi tutamtoa,awekwe mla nguruwe mwenzenu!
Wanabodi,
leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio.
All and all, hongereni sana for all that you are doing, Leo sisi huku Bongo ni hakuna kulala mpaka hiyo saa 8:30 usiku wa manane.
- Nikashuhudia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akirudia kazi yake ya zamani ya utangazaji wa TV Reporting akiripotia TBC live mubashara moja kwa moja kutokea jijini New York, nchini Marekani kutuarifu maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour, utakaofanyika usiku huu mida ya Saa 1:30 Kwa saa za Marekani ambapo ni saa 8:30 za usiku wa manane kwa saa za Tanzania.
- Msigwa ambaye sasa ndiye Msemaji Mkuu wa Serikali, amejikumbusha enzi zake za utangazaji, kwa kumhoji Msemaji Mkuu wa Serikali mstaafu Dr. Hassan Abasi ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo na Utamaduni na ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya filamu ya Royal Tour,
- Dr. Hassan Abbas amesema uzinduzi utahudhuriwa na wageni mashuhuri 400 akiwemo Mayor wa Jiji la New York.
- Kitendo cha Msemaji Mkuu wa Serikali kumhoji Msemaji Mkuu wa Serikali mstaafu ni mahojiano ya kupendeza Sana.
- Kiukweli kipaji cha TV Reporting na composeture yake, hiki ni moja ya vipaji vikubwa sana ambavyo TBC ilivipotezea serikalini. Ndani ya TBC anayemkaribia Msigwa ni Khalid Gangana.
- Hongera Sana Gerson Msigwa kurudia kazi yako ya utangazaji!. Hiki ulichokifanya leo jijini New York, nchini Marekani, ndicho ulipaswa ukifanye Ikulu yetu, siku zote ilipokuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.
- Kazi ya Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu, sio tuu ni kuandika Press Release, bali pia kuiripoti direct from Ikulu kwa piece to camera kama ulivyo fanya leo.
- Ulipaswa kuturipotia shughuli muhimu za rais ikitokea Ikulu, na kuiripoti moja kwa moja into the news.
- Pia ulipaswa kuitisha Press Conference na kufanya Press Briefing kwetu sisi waandishi kama walivyofanya Balozi Choks, Balozi Nkurlu na Balozi Kalaghe, na kama wafanyavyo ma Press Sec wa wenzetu Duniani.
- Naamini Zuhura Yunus hata kuwa Bubu, ikitokea rais ana shughuli muhimu, asiishie kutusambazia just a press release bali sasa sambazeni multi media release yenye press release, photo gallery, audio footage, TV footage, social media footage na Peace to Camera.
Tunawasubiria tushuhudie.
Paskali.
Mabandiko mengine kuhusu Royal Tour
Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...www.jamiiforums.com Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya Leo ikiwa ni makala ya swali la hypothetical question (swali la kufikirika), Kwa njia ya "thinking aloud", yaani unawaza kwa sauti. Hii ni makala mwendelezo wa makala hii Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN...www.jamiiforums.com
Asante, hivi vingereza vingine vya sisi wenzenu, mtusamehe tuu bureComposeture ina maana gani! Au ni composure....!
Ulichojibu ndo hicho ninachosisitiza.Sio hivyo bali mlengwa ni mtalii wa nje na hivyo kule ndio kunaibeba kwanza kabla ya kuletwa huku na kufanyiwa Swahili subtitles!