Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa

Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968



Tazama video hii kuanzia dakika ya 37
 
Pumbaf fala sana. Akili ya kawaida sana kwa nini asingechukua bahasha tu akajua idadi ya waandishi waliofika akagawa kila mtu akakabidhiwa bahasha yake mlangoni? Wengine wamepata, wengine wamekosa, wengine wanavunjiwa kamera zao.

In short alichofanya ni kuwatukana waandishi wa habari, kwangu mimi kawafananisha na sawa na mbwa tuu. Tena mbwa koko maana mbwa wa kisasa haokoti chakula cha kumtupia hivyo.
 
Back
Top Bottom