Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Upanga Stand Up!Au alivyofanya askofu arusha
Au yule mthailand wa upanga Tom mining
Ova
We make it raiiiin!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upanga Stand Up!Au alivyofanya askofu arusha
Au yule mthailand wa upanga Tom mining
Ova
Umeua mkuuMtemi Chenge akisikia mnaziita hizi pesa atacheka sana.
Aliruka na mtoto wa Tajiri mmj bongo
Amini nachokwambia kna mshkj mmja namjua naye alikuwa kwenye mchongo wa ku connect alilamba $1000 ya vocha
--- akaenda mkonge krd dzm baada ya siku 3 akawa na prado
Mjini hapaaaaa mambo ni mengi[emoji23][emoji23]
Ukienda last minute utamgumia Hana noma
Sema Kuna siku nlikuwa naenda wanyama hotel
Nlipita pale kwke kulikuwa na mzozo yeye na Janko mmja walipishana kauli khsu mmbo ya kelelee uwoy akamjib sht yule Janki sjui yy anampung Mara Ana Juana na watu matop
Ah mbn yule kijana alienda mlaza mabatini pale
Nashangaa stori haikitokaaa
Mjini kna mambo aise........
Zurulaaa uone mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Ila mzee baba upanga Sahv imekufaaUpanga Stand Up!
We make it raiiiin!
Wabongo wazawa wa Upanga tangu ya Nyerere tupo. Nilitaka kununua kiota hapo, ila muelekeo wa Uncle Magu ukanisitisha.Ila mzee baba upanga Sahv imekufaa
Rudisheni kama Enzi za donboscooo
Wabongo asili a wanapoteaa Wanabaki wasiaa tu
Ova
Source yake; pesa alizoacha marehemu Ndikumana. Hajui pesa uwa zinaisha.Source yake ya pesa ni nini mpaka afikie kutupa pesa,na sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo jambo...?
Uhamiaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo wazawa wa Upanga tangu ya Nyerere tupo. Nilitaka kununua kiota hapo, ila muelekeo wa Uncle Magu ukanisitisha.
Tena na hivi kukaa nje miaka mingi mtu unaweza kupandishiwa disc ya ubeberu buree.