data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Waandishi hawana kosa...Jamanii tuacheni unafiki hao waandishi wana kosa gani,binafsi hata kama nina utajiri ila mtu atupe pesa naokota😀.
Hata mi ningeokota.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi hawana kosa...Jamanii tuacheni unafiki hao waandishi wana kosa gani,binafsi hata kama nina utajiri ila mtu atupe pesa naokota😀.
😀 😀 netflix ya bongo movieNieleweshe ni kinini!?
Mi sielewi kitu.
Source yake ya pesa ni nini mpaka afikie kutupa pesa,na sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo jambo...?
Hivi kuna mwanaume anahonga kiasi hicho? Halafu akupe mahela ukazimwage hovyo? Nielewesheni jamani....Mtaji kiuno...
Tazama video hii kuanzia dakika ya 37
Anatakiwa kuadhibiwa kifoSheria inasemaje kama mtu Ana rusha pesa.......
Ova
Tunafiki sana huto na mjingwa mwingne ni kiherehere Steve Nyerere kapo kama kadadaHao waandishi wangeacha tu kuokota hizo note kuliko kuokota halafu kulalamika!
Alitaka aonekane kama kina papaaaa musofePumbaf fala sana. Akili ya kawaida sana kwa nini asingechukua bahasha tu akajua idadi ya waandishi waliofika akagawa kila mtu akakabidhiwa bahasha yake mlangoni? Wengine wamepata, wengine wamekosa, wengine wanavunjiwa kamera zao.
In short alichofanya ni kuwatukana waandishi wa habari, kwangu mimi kawafananisha na sawa na mbwa tuu. Tena mbwa koko maana mbwa wa kisasa haokoti chakula cha kumtupia hivyo.
Bahasha za kaki nazo zimepigwa marufuku?Amewatupia noti za elfu kumi kumi waandishi wa habari waliokua mbele ya meza kuu,vurugu ikatokea,nadhani kuna camera zitakua zimeharibiwa!
Tazama video hii kuanzia dakika ya 37