Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichoko katikati ya mapaja yake.Source yake ya pesa ni nini mpaka afikie kutupa pesa,na sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo jambo...?
Njaa na ukahaba.waandishi wa bongo nao njaa tupu
Saiv ana hela,Aisee
Waandishi. Wenyew wa siku hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Amewatupia noti za elfu kumi kumi waandishi wa habari waliokua mbele ya meza kuu,vurugu ikatokea,nadhani kuna camera zitakua zimeharibiwa!
Source ni Papuchi....Source yake ya pesa ni nini mpaka afikie kutupa pesa,na sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo jambo...?
Kama kawaidaHalafu wakiumwa wanaanza kuomba michango.
Netflix vs swahiliflixSwahiliflix.[emoji3][emoji3]
Kwani walishindwa kutafuta jina jingine zuri tu. mpaka watake kufanana fanana?