Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa

Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa

Ila ka Steve nyerere kumbe ana akili sana,kamwambia kabisaa usitoe hivoo utaharibuuu kikaooo,badae anamwombea msamaha,msameheni jamani amekosea,
 
Amekosea sana...

Hakupaswa kuwarushia pesa waandishi wa habari kwa style ile, ule siyo utaratibu mzuri...

Sifa za kijinga...

Cc: mahondaw
 
Money laundering is the process of making large amounts of money generated by a criminal activity, such as drug trafficking or terrorist funding, appear to have come from a legitimate source.
 
Kwa mwandishi mwenye weledi hakupaswa kuokota chochote, tena hapo hapo ndipo anapaswa kujibu swali/maswali kuhusu udhalilishaji wa fedha kutokana na sheria za benki kuu ya Tanzania.

Vinginevyo hiyo ni dharau si ndogo na kwa jinsi ninavyojua njaa za waandishi utakuta walisahau kilicholichowapeleka.
 
Yaani hawa ndo waandishi ambao wanaandika habari kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari..! Kwa njaa hii walioonyesha pale tuamini kwamba walaji wa habari, tunaletewa habari na watu wenye njaa, na wasio na soni..
 
Upuuzi tu nani atafuatilia uchafu huo wa Swahiliflix niache kuunga bando la Netflix niangalia upumbavu wao.

Wasubiri msimu wa kampeni umefika.
 
Masikini anamrushia masikini mwenzie pesa...pumbav sana hawa..... hawajielewi wote
 
Money laundering is the process of making large amounts of money generated by a criminal activity, such as drug trafficking or terrorist funding, appear to have come from a legitimate source.
Akamatwe na achunguzwe.
 
Back
Top Bottom