Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maripota wameripotiwa ....Amewatupia noti za elfu kumi kumi waandishi wa habari waliokua mbele ya meza kuu,vurugu ikatokea,nadhani kuna camera zitakua zimeharibiwa!
Wanaweza kukutana na kadispatch ofisini nwaoWajinga sana hao waandishi na wamekubali kugeuzwa wapumbavu.
Haaahaaa binadamu hawana jema😂😂😂Hata angefanya hivo bado watu wangeongea. Wangesema anatoa rushwa kwa waandishi wa habari ili wampaishe.
Tazama video hii kuanzia dakika ya 37
😂😂😂😂😂😂Halafu wakiumwa wanaanza kuomba michango.
Nieleweshe ni kinini!?Swahiliflix.[emoji3][emoji3]
Kwani walishindwa kutafuta jina jingine zuri tu. mpaka watake kufanana fanana?
Akamatwe na achunguzwe.Money laundering is the process of making large amounts of money generated by a criminal activity, such as drug trafficking or terrorist funding, appear to have come from a legitimate source.