Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi asilimia kubwa Wana njaa
Ova
Source ni Papuchi.Source yake ya pesa ni nini mpaka afikie kutupa pesa,na sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo jambo...?
Ha ha anasigina pesa,nimemkumbuka yule mzee aliyekanyaga katiba pale Jangwani.Sheria inasemaje kama mtu Ana rusha pesa.......
Ova
Anatakasa pesaSource yake ya pesa ni nini mpaka afikie kutupa pesa,na sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo jambo...?
Mtemi Chenge akisikia mnaziita hizi pesa atacheka sana.Anatakasa pesa
Kaka Pascal amesisitiza kuwa huyo dada walau angeweka hizo elfu kumi-kumi kwenye bahasha ya kaki.Kaka Pascal Mayalla hakuweka comment yake hapa?
Hivyo ni vijithumniMtemi Chenge akisikia mnaziita hizi pesa atacheka sana.
Ila kweliKaka Pascal amesisitiza kuwa huyo dada walau angeweka hizo elfu kumi-kumi kwenye bahasha ya kaki.
Tatizo wanaiga utamaduni wa Kimarekani wa "make it rain" copy paste bila kujali mazingira.Kaka Pascal amesisitiza kuwa huyo dada walau angeweka hizo elfu kumi-kumi kwenye bahasha ya kaki.
Hela yenyewe hata laki haifiki.
If you want to make it rain, make it rain
Kuna mchizi alimwaga $100,000 Manhattan. Dola mia mia ziwe elfu moja.
That's how you make it rain.
Yani unamwaga hela zinazozidi gharama ya uharibifu wowote utakaotokea.
So she a mule mule?Ever heard of Big Meech? BMF?
The World Is BMF’s.....
Aliruka na mtoto wa Tajiri mmj bongoUwoya biashara ya 0713 ............ imemtoa aisee, ndio tukaona jeuri yote ile
Au alivyofanya askofu arushaHela yenyewe hata laki haifiki.
If you want to make it rain, make it rain
Kuna mchizi alimwaga $100,000 Manhattan. Dola mia mia ziwe elfu moja.
That's how you make it rain.
Yani unamwaga hela zinazozidi gharama ya uharibifu wowote utakaotokea.