Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga sana hao waandishi na wamekubali kugeuzwa wapumbavu.Pumbaf fala sana. Akili ya kawaida sana kwa nini asingechukua bahasha tu akajua idadi ya waandishi waliofika akagawa kila mtu akakabidhiwa bahasha yake mlangoni? Wengine wamepata, wengine wamekosa, wengine wanavunjiwa kamera zao.
In short alichofanya ni kuwatukana waandishi wa habari, kwangu mimi kawafananisha na sawa na mbwa tuu. Tena mbwa koko maana mbwa wa kisasa haokoti chakula cha kumtupia hivyo.
Wajinga sana hao waandishi na wamekubali kugeuzwa wapumbavu.
Ni swala la muda tu hicho kichaa chake kitatibiwa bila shida. Wema si alikuwa anagawa hivyo hivyo..... Ngoja tuAmemaliza kuongea akaanza kumwaga pesa mbele ya Cameramen wakaanza kugombania mpaka wanataka kuvunja camera zao
Waandishi waliohusika kushiriki huo upuuzi wa kugombania vihela mbele ya kamera ni hovyo sana.Ila wacha wadhalilishwe mpaka akili ziwaingie. Wamezoea kutupiwa hizo bahasha na MaCCM hadi wamekuwa sehemu ya ufisadi wa nchi hii. Wakiitwa badala ya kuhoji maswali yenye akili wanamwachia mgeni uwanja.
Irene Uwoya naye si ni mwana CCM kashazoea hizo
Mtaji kiuno...Source yake ya pesa ni nini mpaka afikie kutupa pesa,na sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo jambo...?
Hata angefanya hivo bado watu wangeongea. Wangesema anatoa rushwa kwa waandishi wa habari ili wampaishe.Pamoja na yote,Hapo kuna watu watakuwa wamenufaika na huo mgao.Assume mtu alikuwa anabuku 2 mfukoni halafu akaokota buku 10.Labda Uwoya angefanya kwa utaratibu mzuri kuweka kwenye bahasha halafu kuwagawia hao waandishi wa habari wakati wakitoka mlangoni.
Angefanya tukio Hilo h. Mdee Sahv washamuweka sehemu fulaniAwamu hii kumbe kina papaa msofe bado wapo
Tazama video hii kuanzia dakika ya 37
Angefanya mtu wa cdm hapo mngeshamfanyia yenu!Alafu majizi chadema yanalalamika vyuma kukaza
Kama sio mbwa koko kwanini waokote kwa kugombania? Wamejishusha hadhi wenyewePumbaf fala sana. Akili ya kawaida sana kwa nini asingechukua bahasha tu akajua idadi ya waandishi waliofika akagawa kila mtu akakabidhiwa bahasha yake mlangoni? Wengine wamepata, wengine wamekosa, wengine wanavunjiwa kamera zao.
In short alichofanya ni kuwatukana waandishi wa habari, kwangu mimi kawafananisha na sawa na mbwa tuu. Tena mbwa koko maana mbwa wa kisasa haokoti chakula cha kumtupia hivyo.
Waandishi asilimia kubwa Wana njaaWaandishi waliohusika kushiriki huo upuuzi wa kugombania vihela mbele ya kamera ni hovyo sana.
Yaani wanajenga taswira kuwa ukiwapa hela waende nje ya taratibu za kazi zao watakubali.
Vyuma vikaze kwa mrembo ambae anajulikana nchi nzima?Alafu majizi chadema yanalalamika vyuma kukaza