Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa

kuna muuza ngada mmoja namfahamu enzi za JK alishamzibua choo sana huyu mrembo
 
Ila mzee baba upanga Sahv imekufaa
Rudisheni kama Enzi za donboscooo
Wabongo asili a wanapoteaa Wanabaki wasiaa tu

Ova
Wabongo wazawa wa Upanga tangu ya Nyerere tupo. Nilitaka kununua kiota hapo, ila muelekeo wa Uncle Magu ukanisitisha.

Tena na hivi kukaa nje miaka mingi mtu unaweza kupandishiwa disc ya ubeberu buree.
 
Source yake ya pesa ni nini mpaka afikie kutupa pesa,na sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo jambo...?
Source yake; pesa alizoacha marehemu Ndikumana. Hajui pesa uwa zinaisha.
 
Wabongo wazawa wa Upanga tangu ya Nyerere tupo. Nilitaka kununua kiota hapo, ila muelekeo wa Uncle Magu ukanisitisha.

Tena na hivi kukaa nje miaka mingi mtu unaweza kupandishiwa disc ya ubeberu buree.
Uhamiaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Watanzania wa ''diaspra'' mmemsikia Uncle Steve Nyerere?haka kajamaa bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…