Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

Anayetakiwa kulaumiwa ni yule aloyemteua mhalifu kuwa mkuu wa mkoa!! Maadam ni mkuu wa mkoa, hata kama kila mmoja anajua ni jambazi, huwezi kumnyima mic.
Huu usomi wenu husiishie kwenye makaratasi tu, iwe mpaka kwenye matendo yenu muonyeshe ubora wenu zaidi yao.

Mfungulieni kesi na sheria uchukue nafasi yake.

Mtakua mmetusaidia wengi sana na nchi kwa ujumla kwa kulinda usalama wetu na mali zetu.

Kwamba mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ni confirmed criminal?
 
Nchi yetu tunashida kiasi, haiwezekani RC mbele ya viongozi wakuu wa nchi anaongea serious allegations vile,na anarudi kwake kulala huku akifurahi......wakati maBoss wa TISS,IGP,CDF na wengine wote wapo na wakakaa kimya bila kumchukua mtu huyo anayewajua wahaini kwaajili ya mahojiano....... inasikitisha sana mfumo wetu wa utawala kuwa hivi 😔
Ni wazi wenye shida zaidi ya wote ni sisi wananchi wa Jamuhuri ya JF.

Mkuu wa mkoa ndio Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa mkoa wake na Mwakilishi wa kwanza wa Rais ndani ya mkoa husika.

Uwepo wa sherehe hizo mkoani kwake na ugeni uliopo ni wazi kwa pamoja kati yake na hao uliowataja wanafahamu yale yote yatakayozungumzwa na mkuu huyo wa mkoa kuhusiana na hatari zinazomkabili Rais (kisiasa) na kwa protocol za ulinzi ni makubaliano yao kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa.

Sasa, inakuwaje sisi wananchi wa JF tukawa wajuzi zaidi ya wanakamati hiyo bila kuwa hata na chembe ya fununu ya kilichoongelewa vyumba vya mikutano yao zaidi ya kufikia conclusions zetu kupitia Tv / videos tu?
 
Mipasho+umbea+uchawa, umekuwa mwingi kwa viongozi
Wa sahvi

Ova
 
Una elimu gani?
Elimu ya darasani???ni kitu gani kwenye maisha halisi tunayoyajua watu wote waliosoma na ambao hawajasoma,wanaojiita wasomi ndiyo hao tunao walalamikia kila siku hawawasaidii wananchi na mipango yao inaonekana ni mibovu,we unauliza elimu?!
 
Watu wenye mandevu wenye akili timamu ni Hashim Rungwe, Muamar Gaddafi pamoja na Osama nyie wengine hayo madevu yafaa tuyakate tuyasage sage tutengeneze toilet paper
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom