Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

Ingekuata ni kenya ukute wanafikiria kumpa urais musislamu haijawai kutokeaa wala hawatambui waislmu ..rais Ni wakristo tu
Mawazo potofu kabisa, dini haijawatatizo wala uhalali wa kuitawala hii nchi. Na haitakaa itokee, afterall Muslims have done a better job as presidents than Christians see the previous ERA. I am Christian by the way.
 
Baada ya samia ni January

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kwani ni lini Lukuvi aliwahi kusema kuwa ana mpango wa kugombea urais?

Uzee unaanzia miaka mingapi?

Kwani wazee hawaruhusiwi kugombea urais?

Yaani ukishakuwa smart&focus tu kwenye baraza la mawaziri tayari Rais anakuogopa kuwa utakuja kuwa rais!
Kwani wote waliopata urais walikuwa wanasema kabla? Lukuvi ana njaa sana ya kutaka kuihujumu nchi lakini mpango wake kutaka kuifanya Zanzibar mkoa tunamjua sana alikuwa anasema mara kadhaa makanisani huko kwamba hatutaacha kuikalia zanzibar kijeshi.
Muache atupiliwe mbali uko ikulu afunge mdomo wake., shenztyp
 
Kabudi Kiongozi makini ,Mzalendo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚labda yule wa Udsm jalalni sio huyu Wa Madagascar .Kwani Lukuvi na kabud Hayati si alisema wameshazeeka hawewez kuwa rais au Samia akiongea hayo tu ndo anadhibiti watu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ