Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
Mtuvumilie tu, kuna vitoto kuviacha hivihivi inahitaji upako.Mmhh!ndoa hizi!
[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji1] mitihani tupu!Mtuvumilie tu, kuna vitoto kuviacha hivihivi inahitaji upako.
Cha msingi mahitaji nyumbani kama kawa na tusipeleke marazi nyumbani.
Nakumbuka enzi hizo, alifika hoteli moja Arusha na Gari moja kali na ya kibabe, muziki full blast..wahudumu wa mapokezi wakamuomba apunguze sauti akaropoka "hampendi muziki kwani nyie Twiga" nadhani alikuwa 'nduki' kama sikosei.Kinje sasa ametulia maana enzi zake alikuwa MTUKUTU sana!!!!!
Ni vile wewe mambo yako hayajajulikana ila naamini sisi wote tuna matukio flani ya kipuuzi sana.Mtu mzima ovyo
Sifa za kijingaNakumbuka enzi hizo, alifika hoteli moja Arusha na Gari moja kali na ya kibabe, muziki full blast..wahudumu wa mapokezi wakamuomba apunguze sauti akaropoka "hampendi muziki kwani nyie Twiga" nadhani alikuwa 'nduki' kama sikosei.
Alafu jamaa alikuwa anabeba toto mbili mbili at ago, yaani kwa kiingereza double double.
Babu yake mzaa babu yake mzee kinjekitile ngombale mwiru ambae ndo baba ake kinjekwani huyu jamaa ndo yule mganga wa vita vya majimaji?