Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
Mitandao ya kijamii kuanzia jana (Januari 30), iligubikwa na taarifa kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Kinjekitile Mwiru almaarufu Kinje, na kasichana ka mjini, Tunda Sebastian. Kusherehesha habari hiyo, video ya wawili hao wakinyonyana ndimi ilikuwa ikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram.
Huku na kule, mara paaap, mzee mzima Kinje amepatikana, watu wakaanzia mbali lakini mwisho wakagusa kwenye pointi, Kinje akafungukia video hizo na madai ya 'kukwichikwichi' na kasichana hako kazurikazuri.