Alichokisema Kinje baada ya video ya mahaba na Tunda kuvuja

Alichokisema Kinje baada ya video ya mahaba na Tunda kuvuja

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,142
Mitandao ya kijamii kuanzia jana (Januari 30), iligubikwa na taarifa kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Kinjekitile Mwiru almaarufu Kinje, na kasichana ka mjini, Tunda Sebastian. Kusherehesha habari hiyo, video ya wawili hao wakinyonyana ndimi ilikuwa ikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram.

Huku na kule, mara paaap, mzee mzima Kinje amepatikana, watu wakaanzia mbali lakini mwisho wakagusa kwenye pointi, Kinje akafungukia video hizo na madai ya 'kukwichikwichi' na kasichana hako kazurikazuri.
 
Kinje sasa ametulia maana enzi zake alikuwa MTUKUTU sana!!!!!
Nakumbuka enzi hizo, alifika hoteli moja Arusha na Gari moja kali na ya kibabe, muziki full blast..wahudumu wa mapokezi wakamuomba apunguze sauti akaropoka "hampendi muziki kwani nyie Twiga" nadhani alikuwa 'nduki' kama sikosei.

Alafu jamaa alikuwa anabeba toto mbili mbili at ago, yaani kwa kiingereza double double.
 
Sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom