antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Sounds like porojo tupu.Alichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia c.i.a wakamfyeka) kuhusu Ugali...
Ugali hutokana na mahindi, mihogo, mtama, uwele, ulezi, ngano, nk.
Angeorodhesha nutritional contents zilizomo ndani ya nafaka zinazoleta huo udumavu.
Na kama kweli hizo nafaka zina tatizo, ingebidi kuacha kutumia vyote vinavyotokana na nafaka, kama mafuta ya kupikia, biscuti, pombe, nk.
Halafu, kwenye jamii za wala ugali mwanzo mwisho, mbona zina watu wanaofahamika waziwazi tu kuwa wana iQ ambazo ni above average!