Alichokisema Lema ni sahihi kabisa, ugali pia unadumaza akili

Waafrika ni watu wa ajabu sana, wanakomaa kuwa ugali ni chakula cha kiafrika, wakati mahindi yameletwa na wareno kutoka America. Mimi watoto wangu wanakula zaidi vyakula vya ngano.
Ngano ina asilimia kati ya 8-15% ya protein, ambayo ni muhimu sana kwa ubongo ili mtu afikiri vizuri, awe mbunifu nk. Sasa mahindi Ina 6-13% ya protein. Kwa maana hiyo nutrition ni kidogo. Nchi zilizoendelea mahindi ni kwaajili ya wanyama.
Kabisa
 
Alichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia C.I.A wakamfyeka) kuhusu Ugali

Dr Sebi alishawahi kusema kuwa Ugali sio nzuri hata kidogo unadumaza akili na ni chakula.cha kimasikini kabisa

Ndo maana jamii zinazokula Ugali Asubuhi, Mchana na usiku siku 7 za wiki, bila kubadilisha lazima hyo jamii iwe na IQ ndogo tu

Ukitaka kuamini, angalia jamii au familia wanazokula mixture yaani hawali ugali sana wanakula
viazi, ndizi, mihogo, samaki, nyama, dagaa, ngano, mchele, mboga, maziwa wadudu mfano senene na kumbikumbi wana IQ kubwa sana tofauti na jamii wanayotegemea ugali tu muda wote na hakuna chakula cha mbadala

Ugali unadumaza akili na sio chakula cha maana hata cha kujivunia hata kidogo, msisahau kuwa ugali wa mahindi sio chakula cha asili cha Mwafrika msisahau mahindi pia yaliletwa na mreno sisi tukadakia tu

Mimi binafsi huo ugali unaliwa mara chache tu nyumbani kwangu hili nililijua mapema sana sio chakula cha kukipa kipaumbele hata kidogo.

Lema yupo sahihi kabisa, maskini wengi ndo wapenda ugali maana hawana mbadala

=======

Katika maisha yangu yote LA Carlifonia na jamii ya wa Tanzania, hakuna chakula tulicjojivunia kama ugali na nyama ya mbuzi......

Kama mnahusisha ugali na umasikini mna shida, nafikiri Lema baada ya kula mavitu ya hovyo Canada ndo kaona hayo ni maisha bora, huu ni upumbavu mkubwa sana.
 
Wazungu walileta mahindi afrika Ili kupunguza uwezo wa kufikiri wa Mwafrika
 
Mahindi ni chakula cha mifugo na sio cha binadamu sema njaa tu
 
Alichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia C.I.A wakamfyeka) kuhusu Ugali

Dr Sebi alishawahi kusema kuwa Ugali sio nzuri hata kidogo unadumaza akili na ni chakula.cha kimasikini kabisa

Ndo maana jamii zinazokula Ugali Asubuhi, Mchana na usiku siku 7 za wiki, bila kubadilisha lazima hyo jamii iwe na IQ ndogo tu

Ukitaka kuamini, angalia jamii au familia wanazokula mixture yaani hawali ugali sana wanakula
viazi, ndizi, mihogo, samaki, nyama, dagaa, ngano, mchele, mboga, maziwa wadudu mfano senene na kumbikumbi wana IQ kubwa sana tofauti na jamii wanayotegemea ugali tu muda wote na hakuna chakula cha mbadala

Ugali unadumaza akili na sio chakula cha maana hata cha kujivunia hata kidogo, msisahau kuwa ugali wa mahindi sio chakula cha asili cha Mwafrika msisahau mahindi pia yaliletwa na mreno sisi tukadakia tu

Mimi binafsi huo ugali unaliwa mara chache tu nyumbani kwangu hili nililijua mapema sana sio chakula cha kukipa kipaumbele hata kidogo.

Lema yupo sahihi kabisa, maskini wengi ndo wapenda ugali maana hawana mbadala

=======

Ugali lazima tukubali kuwa ni chakula cha kimasikini tu.
 
BAVICHA ukweli unaowauma huwa hawazungumzi kabisa, tukiwaambia Tanzania uchumi wetu unakua kuliko wa Marekani watakushambulia mbaya lakini mambo mengine wanapenda ku-compare.
Wewe ndiye bwege mtizeni kabisa
 
Alichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia C.I.A wakamfyeka) kuhusu Ugali

Dr Sebi alishawahi kusema kuwa Ugali sio nzuri hata kidogo unadumaza akili na ni chakula.cha kimasikini kabisa

Ndo maana jamii zinazokula Ugali Asubuhi, Mchana na usiku siku 7 za wiki, bila kubadilisha lazima hyo jamii iwe na IQ ndogo tu

Ukitaka kuamini, angalia jamii au familia wanazokula mixture yaani hawali ugali sana wanakula
viazi, ndizi, mihogo, samaki, nyama, dagaa, ngano, mchele, mboga, maziwa wadudu mfano senene na kumbikumbi wana IQ kubwa sana tofauti na jamii wanayotegemea ugali tu muda wote na hakuna chakula cha mbadala

Ugali unadumaza akili na sio chakula cha maana hata cha kujivunia hata kidogo, msisahau kuwa ugali wa mahindi sio chakula cha asili cha Mwafrika msisahau mahindi pia yaliletwa na mreno sisi tukadakia tu

Mimi binafsi huo ugali unaliwa mara chache tu nyumbani kwangu hili nililijua mapema sana sio chakula cha kukipa kipaumbele hata kidogo.

Lema yupo sahihi kabisa, maskini wengi ndo wapenda ugali maana hawana mbadala

=======

Unae matatizo ya akili
 
Ugali na makande ni machakula ya hovyo. Hayana swagger.I hardly eat.
 
Hakuna kitu kibaya kama chama kukosa sera mara kitaongrlea ugali,mara bodaboda laana ujinga mtupu

Chadema hakina sera ndio maana watu kama Lema wanakosa focus ya waongelee nini kwenye mikutano wanakuja ba chochote kinachoshuka kichwani
 
CHADEMA imeshikwa pabaya na Wafadhili wake. Wamezeshwa maneno ya kuja kuyatumia na wao kushindwa kutathmini madhara yanayoweza kutokea. Kupuuza na kuukana Utamaduni wako. Vijana wako kwenye wakati mgumu sana.
 
Back
Top Bottom