Alichokisema Lema ni sahihi kabisa, ugali pia unadumaza akili

Alichokisema Lema ni sahihi kabisa, ugali pia unadumaza akili

Sera ya Chadema hiyo.....

Chadema na Lema wao wana dharau sana.....

Yaani kisa ametoka ukimbizini Canada anataka kutusimangia ugali wetu?!!![emoji23][emoji23]
 
Mkitoka kwenye ugali,hamieni kwa sisi watembea kwa miguu

mkitoka huko,njooni tena kwa sisi tuiopanga mkimaliza huko

rudini kwa sisi tunaofanya biashara zamitaji ya 5000 kisha malizieni

na sisi tunaokunywa maji ya kandoro,nadhani bado mna mengi endeleeni.

ila Kaeni mkifahamu jambo 1 Watanzania wa sasa unaweza waona kama majinga

ila huwa hawakoseagi kwenye kupiga kura yani utacheka naooo,mwisho anajua yupi Fala yupi Zimo.
[emoji7][emoji7]
 
Ya kwamba watanzania wanakula ugali mkavu?!!!!

Hawali kisamvu?!!!

Hawali matembere?!!!

Hawali dagaa?!!!

Hawali maharage,kunde ,choroko ,njegere ?!!!

Hawali viazi vitamu ?!!!

Hawali maboga?!!!

Yaani sisi ni UGALI na kachumbari tu ?!!!! Lema atuombe radhi [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom