antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Sounds like porojo tupu.Alichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia c.i.a wakamfyeka) kuhusu Ugali...
Hao wanyonge ndo wataweza kubadili mboga???Ugali ni mboga,
Leo ugali samaki
Kesho ugali nyama
Kesho kutwa ugali dagaa na mboga mboga
Inayofuata ugali kitimoto
Ya tano ugali maziwa mtindi
Ya 6 ugali kuku
Hapo ni mchana jioni kitapikwa kingine, jumapili kitapikwa tofauti
Tatizo hujijui kuwa wewe ni taahira kama LemaAlichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia C.I.A wakamfyeka) kuhusu Ugali
Dr Sebi alishawahi kusema kuwa Ugali sio nzuri hata kidogo unadumaza akili na ni chakula.cha kimasikini kabisa
Ndo maana jamii zinazokula Ugali Asubuhi, Mchana na usiku siku 7 za wiki, bila kubadilisha lazima hyo jamii iwe na IQ ndogo tu
Ukitaka kuamini, angalia jamii au familia wanazokula mixture yaani hawali ugali sana wanakula
viazi, ndizi, mihogo, samaki, nyama, dagaa, ngano, mchele, mboga, maziwa wadudu mfano senene na kumbikumbi wana IQ kubwa sana tofauti na jamii wanayotegemea ugali tu muda wote na hakuna chakula cha mbadala
Ugali unadumaza akili na sio chakula cha maana hata cha kujivunia hata kidogo, msisahau kuwa ugali wa mahindi sio chakula cha asili cha Mwafrika msisahau mahindi pia yaliletwa na mreno sisi tukadakia tu
Mimi binafsi huo ugali unaliwa mara chache tu nyumbani kwangu hili nililijua mapema sana sio chakula cha kukipa kipaumbele hata kidogo.
Lema yupo sahihi kabisa, maskini wengi ndo wapenda ugali maana hawana mbadala
=======
Amerika ya Kusini.
Watu WEUSI HAMNA AKILI.Alichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia C.I.A wakamfyeka) kuhusu Ugali
Dr Sebi alishawahi kusema kuwa Ugali sio nzuri hata kidogo unadumaza akili na ni chakula.cha kimasikini kabisa
Ndo maana jamii zinazokula Ugali Asubuhi, Mchana na usiku siku 7 za wiki, bila kubadilisha lazima hyo jamii iwe na IQ ndogo tu
Ukitaka kuamini, angalia jamii au familia wanazokula mixture yaani hawali ugali sana wanakula
viazi, ndizi, mihogo, samaki, nyama, dagaa, ngano, mchele, mboga, maziwa wadudu mfano senene na kumbikumbi wana IQ kubwa sana tofauti na jamii wanayotegemea ugali tu muda wote na hakuna chakula cha mbadala
Ugali unadumaza akili na sio chakula cha maana hata cha kujivunia hata kidogo, msisahau kuwa ugali wa mahindi sio chakula cha asili cha Mwafrika msisahau mahindi pia yaliletwa na mreno sisi tukadakia tu
Mimi binafsi huo ugali unaliwa mara chache tu nyumbani kwangu hili nililijua mapema sana sio chakula cha kukipa kipaumbele hata kidogo.
Lema yupo sahihi kabisa, maskini wengi ndo wapenda ugali maana hawana mbadala
=======
Hakuna mnyongeHao wanyonge ndo wataweza kubadili mboga???
Vipofu mnakokotanaLema endelea kutufumbua macho!
Mimi mpenzi wa ugali kama chakula siwezi kupigia kura watu wanaotuona sisi wala ugali kama wajinga.Ndio mana wanasema hiki chama ni cha wavuta bang