Alichokisema Lema ni sahihi kabisa, ugali pia unadumaza akili

Kabisa
 

Katika maisha yangu yote LA Carlifonia na jamii ya wa Tanzania, hakuna chakula tulicjojivunia kama ugali na nyama ya mbuzi......

Kama mnahusisha ugali na umasikini mna shida, nafikiri Lema baada ya kula mavitu ya hovyo Canada ndo kaona hayo ni maisha bora, huu ni upumbavu mkubwa sana.
 
Wazungu walileta mahindi afrika Ili kupunguza uwezo wa kufikiri wa Mwafrika
 
Mahindi ni chakula cha mifugo na sio cha binadamu sema njaa tu
 
Ugali lazima tukubali kuwa ni chakula cha kimasikini tu.
 
BAVICHA ukweli unaowauma huwa hawazungumzi kabisa, tukiwaambia Tanzania uchumi wetu unakua kuliko wa Marekani watakushambulia mbaya lakini mambo mengine wanapenda ku-compare.
Wewe ndiye bwege mtizeni kabisa
 
Unae matatizo ya akili
 
Ugali na makande ni machakula ya hovyo. Hayana swagger.I hardly eat.
 
Hakuna kitu kibaya kama chama kukosa sera mara kitaongrlea ugali,mara bodaboda laana ujinga mtupu

Chadema hakina sera ndio maana watu kama Lema wanakosa focus ya waongelee nini kwenye mikutano wanakuja ba chochote kinachoshuka kichwani
 
Hakuna kitu kibaya kama chama kukosa sera mara kitaongrlea ugali,mara bodaboda laana ujinga mtupu

Chadema hakina sera ndio maana watu kama Lema wanakosa focus ya waongelee nini kwenye mikutano wanakuja ba chochote kinachoshuka kichwani
CHADEMA imeshikwa pabaya na Wafadhili wake. Wamezeshwa maneno ya kuja kuyatumia na wao kushindwa kutathmini madhara yanayoweza kutokea. Kupuuza na kuukana Utamaduni wako. Vijana wako kwenye wakati mgumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…