Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Na wewe ufungiwe lodge.Hawa viumbe, wangefungiwa makanisa Yao tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ufungiwe lodge.Hawa viumbe, wangefungiwa makanisa Yao tu
Ipitishwe sheria kama Rwanda wakaitafute shahada ya theology kwanzaHawa viumbe, wangefungiwa makanisa Yao tu
Wale maustadh wanaomiminika kwenda kwa Mwamposa huwa wanakwenda kucheza kaswida pale?Ni rahisi sana kumsilimisha mkristo yeyote awe padri,askofu,mlei,mtawa sijui fratel nk kuwa muislamu ila ni ngumu sana kumfanya muislamu hata asieswali wala kupitia madrasa kuwa mkristo
Hao ni wezi kma wezi wengine waabudu shetani tuSerikali iongeze kibano dhidi ya hawa wajasiriamali wa Injili, waabudu mashetani, occultic prophets wanaojificha nyuma ya neno ufunuo. Wakiacha wakaota mizizi kama Nigeria au South Africa taifa litakuwa kwenye hali mbaya sana. Hakuna jina lingine alilopewa mwanadamu limpasalo kuokolewa kwalo zaidi ya jina la Yesu. Kutumia visaidizi kama chumvi, maji au mafuta ni ushirikana kama ushirikana mwingine tu.
Mimi uwa nawaza hivi hawa mashetani wanahubiri moto upo mbinguni lkni mbona hawaogopi wakiongeacho sio wanachokifanya wamekaa na fahari ya dunia tu lkni Mungu hawamuogopi kbsaHawa ni wachumia tumbo. Ukristo unachezewa sababu ndio dini pekee ukiwa na biblia unaweza kufanya chochote kwa jina la Ukristo!
Serikali haipaswi kuingilia lakini hata hilo baraza lao ni waganga njaa na wenye matendo binafsi yanayowafanya wasiweze kukemeana! Bora mchungaji mdhambi kuliko anayetumia maandiko kupotosha imani.
Kutafuta ugali kwa jina la muumba hapana! Bashando ambaye siku hizi ni chawa wa nabii kama yule wa Arusha ni dhahiri hamtetei Kristo. Hukumu mbinguni ipo ndugu zangu!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwani mvua ya vuli ilinyesha mwaka uliopita? Unauliza majibu! au swali!Waache kutafuta huruma mitandaoni. Wafanye kama manabii wengine walivyofanya. Nabii Eliya alivyoona anaonewa na dola alifunga anga mvua isinyeshe. Sasa zamu ya Suguye kusimama kama Nabii
[emoji706]Alichokisema Nabii #Bashando "Mimi ni miongoni mwa watu ambao sikuuelewa kabisa ufunuo wa nywele na kucha wa Nabii Suguye, na niliukosoa hadharani, ila pamoja na kutokuuelewa haunipi sababu ya kushangilia huduma ya WRM kufungwa.
Hapa kuna jambo ambalo watu wengi hatuelewi.
Ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Suguye na WRM, ambapo Suguye ni mwenyekiti wa taasisi ya WORD OF RECONCILIATION MINISTRY (WRM) na mtu ambaye Mungu anamtumia katika huduma ya kinabii, na WORD OF RECONCILIATION MINISTRY ni kanisa ambalo watu wanakusanyika kumwabudu Mungu.
Hivyo basi kufunga kanisa la WRM siyo kumkomoa Nabii Suguye bali ni kuwakomoa watu elfu nne waliyoamua kuabudu ndani ya kanisa la WRM.
Ndiyo maana Suguye alisafiri kwenda Marekani lakini WRM ikaendelea na shughuli zake hapa Tanzania. Kilio changu kikubwa mimi kama mwenyekiti wa UMOJA WA HUDUMA ZA KITUME NA KINABII TANZANIA (UHKKT), ni watu elfu nne kunyimwa haki yao ya kikatiba ya kuabudu.
Lakini pia ni kuipunguzia serikali mapato ya fedha za kigeni ambazo watu kutoka mataifa mbalimbali walikuwa wanakuja Tanzania kwa ajili ya kufuata maombi katika huduma ya WRM.
Nirudi kwenye swala la ufunuo wa kucha na nywele, inawezekana Nabii Suguye akawa alionyeshwa na Mungu au lah.. Lakini hata kama ufunuo ule ulikuwa haujaeleweka au una makosa ndani yake, siyo jukumu la serikali kuingilia kati huo ufunuo maana serikali haina dini, na katiba imetoa uhuru wa watu kuabudu bila serikali kuingilia..
Serikali inaweza kuingilia kati ibada ambayo itajumuisha jinai ndani yake... Kwa mfano ningesikia Nabii Suguye amekamatwa kwa sababu ametuhumiwa kuuza madawa ya kulevya, kubaka, kuiba, kuua, au kuvunja sheria za nchi kwa namna yeyote ile, hapo nisingefungua mdomo wangu kuongea, ningesubiria kuona mahakama ikitenda haki..
Ndiyo maana siku ya kwanza tu nilipopewa taarifa kuwa huduma ya WRM imefungwa nilipiga simu kwa Msajili na kumuuliza kuna jinai gani imegunduliwa katika huduma ya WRM? Na nilipopewa jibu nikamtafuta Nabii Suguye na uongozi wake bila mafanikio hadi hapa juzi nilipofanikiwa kuonana na Nabii Suguye uso kwa uso ndipo nikasikiliza kwa upande wake na kubaini baadhi ya makosa ndipo nikaamua kusimama na Nabii Nicolous Paul Suguye .
Kama tatizo ni ufunuo wa kucha na nywele naamini BARAZA LA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE TANZANIA (CPCT) lipo na lina mamlaka ya kumuita kiongozi yeyote wa imani ya kipentekoste na kumuhoji na kutafuta busara ya kuondoa sintofahamu iliyojitokeza kwenye jamii..
Lakini kwa kuwa huduma ya Suguye siyo mwanachama wa CPCT bado CPCT wangeweza kuutumia UMOJA WA HUDUMA ZA KITUME NA KINABII TANZANIA kumuita Suguye na kukutana nae kwa kikao cha kuondoa sintofahamu iliyojitokeza, maana kucha na nywele ni swala la kiimani ambalo lingeweza kutatuliwa na baraza na chama cha imani husika.
Tukija kuruhusu mambo haya yaingiliwe na serikali kwanza tutakuwa tunafungua mlango wa serikali kuendesha ibada zetu na huko mbeleni tutashindwa hata kulitaja jina la Yesu Kristo na kuanza kusifia watawala na sera zao, na jambo la pili ni kupunguza nguvu kwenye baraza na umoja wa huduma...
Ushauri wangu kwa mitume na manabii wote wa Tanzania, msiyadharau haya mabaraza wala vyama ambavyo vina dhamana kisheria ya kutafsiri imani mbele ya serikali, ni vizuri kabisa kuomba uanachama na kujiunga ili serikali inapowatafuta iwakute huko ndani, lakini pia muwe na nguvu ya kushiriki uchaguzi wa kuchagua viongozi ambao hawatakuwa na udhehebu wa kutumia vibaya nafasi zao kuchongea watu wa imani ambazo hawajazielewa..
Najua kwenye utumishi kuna makosa mengi sana na katika makosa hayo inabidi kupata viongozi wanaoweza kulea na kuonya kwa upendo kwa kusudi la kurekebisha na siyo kukomoa kwa maslahi ya kidini na kidhehebu...
Ile dhana ya kusema unajitenga peke yako ili uweze kufanya huduma kiutulivu, hautaki chama wala baraza siyo njema sana, jitahidini kushirikiana na baraza na chama kwa maslahi ya mwili wa Kristo....
Namalizia kwa kusema, kama serikali imeweza kumtikisa mtumishi mkubwa kama Suguye, vipi mimi na wewe ambao ndiyo tunaanza huduma? Ninavyosimama na Suguye simuoni yeye kama Suguye ila ninaona hatari kwa watumishi wadogo mnaoanza huduma na hamna hata usajili, tukilinyamazia hili kwa kweli huko mbele mambo yatakuja kuwa magumu kama ilivyo nchi ya Rwanda.
Nimeona comment za watumishi wanaoanza huduma wakicheka na kufurahi kwa kilichoipata huduma ya WRM nikakumbuka usemi ambao Yesu alisema, "HERI MNAOCHEKA SASA KWA MAANA MTALIA NA KUSAGA MENO....
Mimi Mhashamu Baba Askofu Bashando nasimama na Nabii Nicholaus Suguye [emoji120]
View attachment 2469637
matapeli kwa jina la yesu wanateteana ili waendelee kuwapiga watu .Alichokisema Nabii #Bashando "Mimi ni miongoni mwa watu ambao sikuuelewa kabisa ufunuo wa nywele na kucha wa Nabii Suguye, na niliukosoa hadharani, ila pamoja na kutokuuelewa haunipi sababu ya kushangilia huduma ya WRM kufungwa.

Mimi Mhashamu Baba Askofu Bashando nasimama na Nabii Nicholaus Suguye 🙏
View attachment 2469637
Mimi ni Mpentecoste na kweli nilikuwa naamini katika ministries ila hizi ministries bila kusimamiwa na kuelekezwa na serikali kuna mambo ya hovyo sana yanafanyika na yanauchafua ukristo japo serikali ilijitahidi kujitenga na maswala ya Imani.[emoji1545]Naona mnatafuta sababu ya kuona mnaonewa na Serikali. Serikali imesema wazi kwenye gazeti la Mwananchi sikumbuki ni la lini ila nilisalisoma huku. Kanisa limefungwa kwa sababu halijasajiliwa na msajili toka Wizara ya mambo ya ndani ya nchi na sio kuhusu huo ufunuo wa Kucha na Nywele. Mimi ni Mpentecoste na kweli nilikuwa naamini katika ministries ila hizi ministries bila kusimamiwa na kuelekezwa na serikali kuna mambo ya hovyo sana yanafanyika na yanauchafua ukristo japo serikali ilijitahidi kujitenga na maswala ya Imani.
Ndiyo maana siku ya kwanza tu nilipopewa taarifa kuwa huduma ya WRM imefungwa nilipiga simu kwa Msajili na kumuuliza kuna jinai gani imegunduliwa katika huduma ya WRM? Na nilipopewa jibu nikamtafuta Nabii Suguye na uongozi wake bila mafanikio hadi hapa juzi nilipofanikiwa kuonana na Nabii Suguye uso kwa uso ndipo nikasikiliza kwa upande wake na kubaini baadhi ya makosa ndipo nikaamua kusimama na Nabii Nicolous Paul Suguye .
Huyo Bashando mbona haelezi msajili alitoa jibu gani, badala yake amejikita kwenye kucha na nywele (jambo la hisia). Aseme sababu za kufungiwa huduma kama alivyoambiwa na msajilikama ukiruhusu serikali iingilie masuala ya imani, wataingiza mambo yanayokinzana na kumtumikia Mungu.
Sio kazi ya serikali kusimamia mtu aabudu nini na aabudujeMkuu emmarki pokea salam za Upendo.
Niliposikia habari kumhusu Subuye na huduma yake kufungiwa na serikali ilinifanya kufanya utafiti kidogo kuhusu huyu ndugu. Taarifa nilizozipata kuhusu Subuye tangu akiwa mwana kwaya wa kanisa kule mwananyamala, alivyohamia kwenye biashara ya Hardware na hatimaye kuanzisha huduma yake iliyokua haraka kama uyoga zimenipatia maswali mengi kuliko majibu na baadhi ya niliambiwa ni aibu kwa mwili wa kristo hata kuyataja hapa.
Naomba kwa kuanzia niulize maswali yafuatayo:-
1. Unadhani Serikali imekosea kwa hatua ilizozichukua? Nikuhakikishie hayo ambayo hujaambiwa ni mazito na aibu kwa mwili wa kristo
2. Unadhani kwanini Subuye hajajiunga na jumuiya yeyote ya Kipentecoste? Hata angekuwa amejiunga je ninyi mna mnauwezo kumchukulia hatua za nidhamu mwanachama wenu?
3. Kwani mmejeuza kuwa fashion uanzishwaji wa huduma za kifamilia (Wenye huduma na mali za huduma ni Mr & Mrs tu na sio Baraza la wadhamini).
4. Je hauoni wakati umefika wa kupiga marufuku uanzishwaji wa huduma mpya za kifamilia na kuhimiza zilizipo ziungane ili kuwa na huduma chache (Institutional ministries) ili kuepusha ya Subuye na CULT MINISTRIES zinazoota kama uyoga
5. Je huu utitiri wa huduma unaongeza kweli kwenye Nchi idadi ya watu wenye hofu ya Mungu?
Naomba Serikali isiishie kwa Subuyeinyoshe mkono wake izifungie huduma (CULT) zilizosalia.
Ahsante
Tatizo mnafikiri kila kinachoitwa Kanisa ni Kanisa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unaelewa maana ya kusilimu? Unaelewa maana ya kwenda kwa mganga wa kienyeji?Wale maustadh wanaomiminika kwenda kwa Mwamposa huwa wanakwenda kucheza kaswida pale?
Nitajie jina la huyo shehe wa wilaya na wilaya yake nimekuambia ni ngumu mno kwa mtu aliyeusoma uislamu kuja kuwa mkristoBasi imekuwa tofauti, sisi huku nyanda ya juu kusini tunaufuta uislamu. Kila mkutano wa injili tunaofanya kuna waislamu wanaokoka. Wiki iliyopita kuna shehe wa BAKWATA wilaya moja aliokoka maana tulimuombea na akatokwa mapepo na sasa anamtumikia Yesu aliye hai. Huko Masasi ni eneo lenye waislamu wengi na binafsi nieleweshe huyo/hao wakristu wanabadilisha dini au mnakutana nao vipi hadi abadili dini zaidi ya mbinu yenu ya kuoa wakristo?
Ahahahaaa..!!! Mnatafuta huruma ya jamii..!!! Hujasajiliwa huwezi endesha kanisa. We fanya unabii wako wa nywele, kucha au hata mate, lakini hakikisha umesajiliwaAlichokisema Nabii #Bashando "Mimi ni miongoni mwa watu ambao sikuuelewa kabisa ufunuo wa nywele na kucha wa Nabii Suguye, na niliukosoa hadharani, ila pamoja na kutokuuelewa haunipi sababu ya kushangilia huduma ya WRM kufungwa.