Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Sijakosea kuwataja mkuu.Hao wote taarifa wanazo ila hawataki kuchukua hatua .
Hao ndiyo watu pekee ambao wana nyenzo za kisheria kutatua matatizo na kero za wananchi.
Endeleeni kuchagua viongozi ambao hawajui thamani ya kuelimika ndo mtavuna makapi daily