Alichokisema Rais Magufuli Tabora ni kweli; majungu watu hawafanyi kazi. Kanisa lajengwa katikati ya barabara, lapiga muziki masaa 24

Hao wote taarifa wanazo ila hawataki kuchukua hatua .
Sijakosea kuwataja mkuu.
Hao ndiyo watu pekee ambao wana nyenzo za kisheria kutatua matatizo na kero za wananchi.

Endeleeni kuchagua viongozi ambao hawajui thamani ya kuelimika ndo mtavuna makapi daily
 
Kuna wengine huku SAA kumi na moja swalaaa swalaa spika zimefungwa karibu na nyumbani kwangu, mpaka kero yaani Dini hizi!
 
Sijakosea kuwataja mkuu.
Hao ndiyo watu pekee ambao wana nyenzo za kisheria kutatua matatizo na kero za wananchi.

Endeleeni kuchagua viongozi ambao hawajui thamani ya kuelimika ndo mtavuna makapi daily
Haujakosea kuwataja ila hawatimizi wajibu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…