Hii siyo changamoto ni tatizo kubwa, na tatizo no 1 ni yeye kuendekeza udini na uzanzibarWakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi.
Kikwete amesema anachoonyesha Rais Samia katika kipindi hiki, kinadhihirisha ushupavu wake katika uongozi, akieleza changamoto ni sehemu ya uongozi na utulivu wake unawafanya wananchi pia kuwa watulivu.
Kauli ya Kikwete ameitoa katika kipindi ambacho kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa umeme, maji na sukari, ambayo bei yake imepanda maradufu.
Credit - Mwananchi
Amshauri dada yake aunde tume huru ya uchaguzi na katiba mpya la sivyo haya matatizo yatakuwa ya kudumu.Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi.
Kikwete amesema anachoonyesha Rais Samia katika kipindi hiki, kinadhihirisha ushupavu wake katika uongozi, akieleza changamoto ni sehemu ya uongozi na utulivu wake unawafanya wananchi pia kuwa watulivu.
Kauli ya Kikwete ameitoa katika kipindi ambacho kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa umeme, maji na sukari, ambayo bei yake imepanda maradufu.
Credit - Mwananchi
Kivipi?Hii siyo changamoto ni tatizo kubwa, na tatizo no 1 ni yeye kuendekeza udini na uzanzibar
Tanzania imevaa chupi kichwani Hadi wastafu nafasi kubwa kuliko zote wanakuwa machawaWakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi.
Kikwete amesema anachoonyesha Rais Samia katika kipindi hiki, kinadhihirisha ushupavu wake katika uongozi, akieleza changamoto ni sehemu ya uongozi na utulivu wake unawafanya wananchi pia kuwa watulivu.
Kauli ya Kikwete ameitoa katika kipindi ambacho kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa umeme, maji na sukari, ambayo bei yake imepanda maradufu.
Credit - Mwananchi
Kati ya hizo changamoto hakuna hata moja inayomgusa yeye JK direct, so anazisikia tuKauli ya Kikwete ameitoa katika kipindi ambacho kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa umeme, maji na sukari, ambayo bei yake imepanda maradufu.