Alichokisema Rais mstaafu Kikwete kuhusu Sukari na Umeme

Sifa ya utulivu inaweza kuwa ni chaka la kujificha viongozi ambao hawana maamuzi, hawajui la kufanya na wanaogopa au hawataki kujieleza.

Rais ambaye kashatoa hotuba ya kueleza hatua anazochukua kupambana na tatizo la umeme, huyo unaweza kuniambia ni mtulivu.

Lakini, kama rais hajatoa hata hotuba ya kutupa mipango ya serikali, huyo huwezi kumuita mtulivu.

Huyo anaonekana hajui cha kufanya.

Tutajuaje rais ni mtulivu, na hajasema "Huu ni upepo utapita tu" bila kuchukua hatua yoyote?
 
Changamoto ya maji si ni dar tu!!
 
Kwamba kutafuta ufumbuzi ?!!!!;

As if hili ni tatizo jipya (halijawahi kutokea) Yaani ni kama unapanda Bangi alafu unashangaa kilichoota sio mchicha
 
Waacheni wastaafu.
Tatizo ni sisi wa TZ, UMBUMBUMBUNESS wetu ndo umetufikisha hapa.
 
Hawezi kuongea chochote cha tofauti na hicho, ana jenereta nyumbani, gari ina AC, maji yapo ya kutosha, ningeshangaa sana kama angelalamika kwa kero isiyomhusu.

Kwa Kikwete.. Samia lazima awe mchapakazi hodari, sababu anahakikisha anapata stahiki zake zote kwa wakati.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mr. Remote Contlorer
 
Watanzania tunaojitambua tunafahamu kuwa haya ni mapito na rais wetu atatuvusha kutoka hapa. Kikubwa ni kuendelea kuwaombea viongozi watu wafanyekazi kwa bidii kwa ajili ya watanzania
 
Mawazo ya kijinga!!

Kiongozi inapofikia unaona matatizo ni kitu cha kawaida, wewe ni takataka. Kiongozi unatakiwa uguswe na matatizo ya unaowaongoza, na wao wao unadhihirisha kuwa unaguswa nayo, na waone kuwa unayashughulikia. Siyo kwa kuhisi bali kwa matokeo ya kuonekana.
 
Kama
Kama Rais atasikiliza ushauri huu ni hatari!
Awaulize marais waliopinduliwa kama hawakuwa wavumilivu,
Na kama uvumilivu wao uliwafanya wananchi wawe wavumilivu!
 
Utulivu wake katikati ya matatizo ambayo taifa linapitia unatusaidia ninj sisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…