Alichoniambia mdogo wangu nawaza mpaka sasa nimekosa la kujibu, naombeni msaada wenu

Ww na mudogo yako wote ni wajinga.
Hili huwa linafanywa na wazee na ndugu mmoja kuchaguliwa kufanya hivyo bila wewe mhusika kujulishwa. Mtoto utakuwa ni wako kwa vile atafanana na ndugu. HII ILIKUWA TOP SECRET ila huyu sasa amekosea sana sana angehitaji ushauri toka kwa kaka yake basi na kaka angeomba ushauri kwa wazee.
 
Kam mdg ako Ni mmasai na au mke wake ninmmsai aje pm chapu nimuelekeze kwa bb mmoja ngaramtoni kule akapate dawa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama uko serious, tunaweza kukushauri vizuri na ukamshauri mdogo wako Cha kufanya.

Hicho alichokuambia kimekuwa kikifanyika kwa Siri Sana kuanzia zamani lakini madhara yake emotionally sio mazuri.
 
"Mwanaume lazima awe mwanaume" mdogo wako ahudhurie kongamano hilo ambala huendeshwa na Mtume Mwamposa pale Kawe, Dar es salaam
 
Angalia movie ya Kanumba "DANGEROUS DESIRE" hutatoka kapa. Guru Guja
 
Sishauri ufanye hivo, madaktari bingwa wapo watatue matatizo yao ikishindika na hata mitishamba ni dawa watafute wataalam
 
Kubali tu ili umuinulie nduguyo uzao ila ole wako umwagie chini utafanywa cha yule jamaa wa kwenye Bible.
 

Kaka umewajuaje hawa [emoji276][emoji276]
 
Kaka umewajuaje hawa [emoji276][emoji276]
Mm mwenyeji wa Arusha na nimewaelekeza watu wengi kwa hao watalaam wamefanikiwa . ni watu wanaojulikana sana Arusha . Na kote wanakubali bima. A friend of mine alioa 2010 alihangaika sana then nikapata hizo tips za hao watu akaenda kwao ,of course kuna vipimo aliombwa afanye hospital nyingine alete majibu , 2017 mwishoni akapata mtoto, so na mtoto wa 2 pia alirudi huko huko wakamsaidia. So yy na mke wake wana matatizo kwa natural way hawapeane mimba
 
Mwambie aende Muhimbili clinic ya mambo ya uzazi ili tatizo liwekwe bayana.

Kuna pia upandikizaji mimba kwa njia ya IUVF ,imeanza kufanya kazi nchini
 
Huenda mdogo wako anajijua yuko na shida ndiyo maana anaomba umsaidie.
 
"Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…