Alichoniambia mdogo wangu nawaza mpaka sasa nimekosa la kujibu, naombeni msaada wenu

Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.

Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.

Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!

Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
Shida ni nini mpaka akuambia wewe utembee na shemeji yako?
 
Mpelekee moto tu!! Uyo nikama mkeo kabisa.
 
Binafsi nina baba mdogo wangu wanae wawili ni watoto wa kaka yake. Kwa heshima ya kuendeleza ndoa na kumsitiri jamaa. Na ndoa yao inaendelea mwaka wa 27 sasa.
 
Hivi hamna njia ya kumpa mtu ujauzito bila kuzagamuana? mbona kwa wanyama kama ng'ombe inawezekana.
Nimejiuliza tu kama akili kubwa
 
Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.

Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.

Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!

Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
Sawa, hii ilifanyika zamani, wana ukoo husaidia ndugu yao kupata mtoto ili kuendeleza ukoo wao na damu yao, kama dogo Ameridhia basi msaidie lakin iwe siri ya ndani ya familia
 
Aiseee msaidie mdogo wako Bora wewe unaweza kuficha aibu ya mdogo wako kuliko mtu baki

Bora mke apate mimba kutoka kwenye familia yenu tena uzuri mmekubalia kuliko akaipa nje ya familia yenu

Lakini Aya mambo huwa ni mazito sana yanaitaji uvumilivu na ustamilivu wa hali ya juu sana
 
Kabila langu hiyo inaruhusiwa kabisa,Tena wanainjinia Ni wazee Kabla hata mlengwa hajajijua ana tatizo,wanahesabu miaka tangu mfunge ndoa wakiona jau game linachezwa,hutokaa ujue wale watoto sio wako kwa Sababu Ni damu moja,wanafanya hivyo ili kuzuia kuleta damu isiyo rasmi kwenye ukoo,mdogo wako Yuko Sahihi piga show....mbona wale mabinti wa Nuhu walipiga show na mdingi ili kurescue panapo situation ngumu
 
Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.

Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.

Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!

Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
Mwambie atafute pesa akapandikize
 
Hakikisha unajiridhisha kuwa kweli Hana uwezo wa kuzalisha. Pili wewe unatakiwa kutunza Siri Sasa Kwa moyo wako huu Nahisi utawahi kufa.
 
Ingawa ni story ya kuchangamsha genge kama ingekuwa ni halisia basi ningemshauri mdogo wako na wewe muende hospital madoctor watoe mbegu kwa njia ya "MASTA" then waende kumuwekea m/ke wa mdogo wako ,sio lazima UMDINYE.
 
Sio lazima umpelekee moto apate mimba. Unaweza ukawa sperm donor bila kuuona uchi wa shem
 
Back
Top Bottom