kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Muulize tatizo ni Nini anaweza kupewa dawa hapa hapa ila akupe vipimo tu vya sperm analysis
Ili kama ni ishu ya uzazi ntampa dawa Bure kabisa yaani Bure na ataweza kumpa mimba mke wake na hata hiyo dawa ntaelezea hapa hapa kwa faida ya wengi baada ya majibu ya vipimo ukileta kwahiyo sitaki mtu aje Dm ntaelezea hapa hapa kwa faida ya wengi