kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.
Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.
Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!
Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
ZMdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.
Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.
Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!
Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
Niliwahi kuona movie ya aina hii ya Nigeria lakini ilihusisha marafiki wawili. Yule muhusika alimlewesha mkewe na rafiki akafanya yake bila ya mke kutambua ule mpango.
Baada ya muda yule rafiki aliyebandika mimba kwa mke wa rafiki yake alipoteza mkewe halali na watoto wake wawili kwenye ajali na hapo ndipo soo lilipoanza. Kila akikaa alikuwa akimuwaza yule mtoto wa rafiki yake (ambaye ni wake kwa damu) na akaanza kumkera ampe mtoto wake. Ugomvi mkubwa ulizuka na mwisho rafiki akatoa siri kwa yule mwanamke jinsi mpango ulivyokwenda.
Sasa haya unayoongea hapa yamefanana kidogo na hiyo movie kwa hivyo jiwekee tahadhari usije kubadili mawazo baadae.
Zaa tu na shemeji yako. Ni bora mtoto awe damu yenu kuliko kuleta damu nyingine katika ukoo wenu. Damu zingine malaana