Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Mkuu sijaona unacholalama mwanamke hawezi kulala na wewe siku ya kuonana...mimi niliwahi kwenda tabora kutokea dar mwaka 2016 nilifika kule mwanamke anakanipokea akanijali sana ila usiku akasema nikalale lodge nikaenda ikawa siku ya kwanza siku ya pili ya tatu pesa ikaisha akassma tulale wote tukalal na hakuna kitu tulifanya zaidi ya kuishika suruali aliyolala nayo nilikaa wiki sikuambulia hata busu ila nilivyoondoka tukaendelea kuwasiliana nikazidi kuaminiwa zaidi binti akaja yeye tukasex rasmi za kutosha tukadumu miaka mi3 mapenzi yakafa msiwe na Haraka jamani mapenzi ni hisia so kuchat tupu hakuwezi kumjenga akupe mwili wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaio hio papuchi angeenda kuila huko kwa wazee wake?
 
Hilo lalamshi la huyo bi dada nawaza nimeliona twitter au jf kumbe ni wewe Bahama haha ila risk sana kuifuata mbunye km zote hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua tu ni mtu mmoja ndani ya acc 2 😀😀QUOTE="germanium, post: 29901152, member: 266529"]kikiii tu....cosovo ndo huyo huyo cutelove kaja na ID ingine[/QUOTE]
 
Mapenzi ya mtandaoni! Mnapatana mtandaoni mkiachana mnakuja kuanikana cri zenu mtandaoni, japo mnatumia fake ID lkn mnatia Aibu sana mkiendelea na hizi bifu zenu za kulazana stendi na majina mtaanikana hpa hpa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…