Tripp
JF-Expert Member
- Feb 2, 2018
- 898
- 1,545
Mkuu sijaona unacholalama mwanamke hawezi kulala na wewe siku ya kuonana...mimi niliwahi kwenda tabora kutokea dar mwaka 2016 nilifika kule mwanamke anakanipokea akanijali sana ila usiku akasema nikalale lodge nikaenda ikawa siku ya kwanza siku ya pili ya tatu pesa ikaisha akassma tulale wote tukalal na hakuna kitu tulifanya zaidi ya kuishika suruali aliyolala nayo nilikaa wiki sikuambulia hata busu ila nilivyoondoka tukaendelea kuwasiliana nikazidi kuaminiwa zaidi binti akaja yeye tukasex rasmi za kutosha tukadumu miaka mi3 mapenzi yakafa msiwe na Haraka jamani mapenzi ni hisia so kuchat tupu hakuwezi kumjenga akupe mwili wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app