92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Ahh mm kusafiri na mtoto wa mtu nlishaachaga nilipanda bus moja toka mkoa x kwenda dar bas pembeni alikalishwa dogo mzazi wake akanipanamba na kuomba nimfikishe town niliwasiliana vizur na mwenyeji wake kufika town kila nikimtafta simpati nkampeleka dogo kituo cha polisi nkawaelezea nkamuacha pale na namba za simu kesho yake jioni ndio huyo mwenyeji ananitafta anauliza yuko wapi mwanae dah nilimpa matusi kama yote maana unajijua una mtu unamngoja kama simu imezima bas azima hata ya jirani baadae kampata mwanae polisi ananilaumu kwann nimpeleke polisi.
najiulizaga je ningempeleka kwangu alaf chochote kimkute mm ningekua salama.
Wabongo hatujui fadhila hata kidogo hivyo kuepusha kero mm namwambia mtu mkabidhi konda ndio utaweza mfuatilia vizur maana ukikamata gari umempata na konda wake kuliko mimi raia nikisepa na mwanao ndo bas tena unaweza usinipate