Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

Ahh mm kusafiri na mtoto wa mtu nlishaachaga nilipanda bus moja toka mkoa x kwenda dar bas pembeni alikalishwa dogo mzazi wake akanipanamba na kuomba nimfikishe town niliwasiliana vizur na mwenyeji wake kufika town kila nikimtafta simpati nkampeleka dogo kituo cha polisi nkawaelezea nkamuacha pale na namba za simu kesho yake jioni ndio huyo mwenyeji ananitafta anauliza yuko wapi mwanae dah nilimpa matusi kama yote maana unajijua una mtu unamngoja kama simu imezima bas azima hata ya jirani baadae kampata mwanae polisi ananilaumu kwann nimpeleke polisi.

najiulizaga je ningempeleka kwangu alaf chochote kimkute mm ningekua salama.

Wabongo hatujui fadhila hata kidogo hivyo kuepusha kero mm namwambia mtu mkabidhi konda ndio utaweza mfuatilia vizur maana ukikamata gari umempata na konda wake kuliko mimi raia nikisepa na mwanao ndo bas tena unaweza usinipate
 
Hizii habr za kubadhiana na kupokea alisafirisha mwenyekiti wangu wa chama wilaya dawa za kulevya bila kujua,yeye alijuwa na viatu tuu,kumbe Kuna heroin ya kutosha viatu,siku zimepita ndio Kuna mtuu anakuja kumuliza mzigo wangu Kama vile utanifanyia kiasi gani?jaamaa mzigo gani Tena?anakuja kuambiwa kuwaa wewe ukujuwa wakti unapewa,alinyimika amani acha kabsa;kwaiyo habr za kusafilisha au kukabithiwa vitu kwenye mfuko Bora akabithi uongozi wa gari.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Ule mfumo wa Ujamaa ulituharibia sana nchi.

Mtu hakujui wala hamfahamiani anakukabidhi vipi mtoto na wewe ukakubali ..?
 
Manzi mmoja kasha nifundisha , kwa sasa naona wanawake wote kama.akili ni moja tyu
 
Kazi zakufanywa na polisi unafanya raia ngoja siku meza ipinduke ndo mtajua hata kuuliza pahala tafuta polisi muulize utauliza utapitishwa maeneo magumu utajuta
 
Pole Mkuu..inauma sana..wapo wengi sana.
 
kifupi wewe siyo konda ulijipa majukumu yasiyo yako labda kwa sababu aliyekuomba mwanza ni mwanamke kichwa cha chini kikapumbuza akili..
 
huyo mtoto atakuwa aliishi huko alikotoka kwa ugomvi, na walimtuma huyo mtoto kwako kama kifurushi, na huyo mama wa mtoto alijua wewe na yule aliyemtuma mtoto kwenye basi lenu ni moja. na si ukute yule aliyeagizia mtoto alimwambia kwenye simu wewe ni bwanake unakuja naye. kwahiyo aliwachukia yule na wewe kwenye kapu moja. sio rahisi mtu mzima kufanya alichofanya kama hakuna sababu ya msingi.
 
Weye mjinga nini?
 
Watakuwa wasukuma nini

Sasa huyo dogo angepatwa na lolote jela ingekuhusu.

Usikubali kuwa mwema kupita kiasi
 
kuna padri mmoja alisha fariki alikuwa akihudumu katavi miaka iyo kwa stori za wazee jamaa alikuwa akikupa lifti alafu ushuke bila kushukuru anakuita anakuomba upande kwenye gari ana mazungumzo na wewe naskia chuma inachora unakurudisha alipo kutoa

amewahi warudisha jamaa katavi baada ya kuwafikisha sumbawanga na hawakushukuru

sema kushukuru kuna nguvu yake, nimewahi wasaidia watu wawili mmoja nilimtumia vocha ya buku 2 alipo pokea akanishukuru, mmoja nikamtumia elfu 24 hakushukuru nilirudisha muamala hadi leo hajui sababu
 
Warundi hao, kama mwendazske.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…