Alichopost Zari instagram

ukitaka kumjua zari nenda istagram kwa thecelebchronicles ni waganda wanamjua mwanzo mwisho utashangaa
ila kama unachamba ni kiingereza tu ukienda na kiswahili chako unablokiwa
Heeeee ngoja na mimi nikaimprove grammar zangu huko shoga.
Kuna kipindi nilikuwa nachambanaga na wazungu kwenye the celebrities nini sijui...
Tukutane huko [emoji126][emoji126][emoji126]
Na hivi simpendi nitachambaje?[emoji39][emoji39]
 
Ukweli ni kwamba nikija kwenye uzi kama huu huwa sisomi comments zozote huwa nasaka comments zilizoandikwa au iliyoandikwa na Nifah
 
Hujaona question mark hapo? Au nimezeeka mama
 
Afu kwa nn Mange anamtafuta sana zari ila zari hana time naye?

Mtakatifu sana Ivuga...nimekujibu vile kutokana na hilo neno hapo kwa red.
Neno hilo ni kukanusha ya kwamba Zari yeye hana muda na Mange.

Labda nirahisishe...kama kweli ulikuwa na nia ya kuuliza ungesema hivi "Halafu mbona Mange anamfuata sana Zari ila sijawahi kumuona Zari akimfuata Mange?"
Hapo ni dhahiri kwamba ungekuwa hujui kuwa Zari nae anamfuata Mange pia...
Tofauti na ulivyokanusha kuwa hana time nae.
Nafikiri umeelewa sasa...
Cheers

Hujaona question mark hapo? Au nimezeeka mama
 
uko vizuri sana siku hizi!!
 
Ngoja nije huko dar sasa nije niyashuhudie mwenyewe sasa nimechoka kusimuliwa! Huku Arusha kuna maceleb uchwara!
 
Amekuwa mswahili balaa
 
Asante Nifah mtu wangu.
Mimi nia yangu kama mwanaume wa dar nilikuwa nataka kujua kuwa kwa nini Mange anamfuata fuata sana zari? Na je zari hana time na Mange? Japo labda nilishindwa kuweka swali lielekewe vizuri.
Ila pamoja sana
 
Asante Nifah mtu wangu.
Mimi nia yangu kama mwanaume wa dar nilikuwa nataka kujua kuwa kwa nini Mange anamfuata fuata sana zari? Na je zari hana time na Mange? Japo labda nilishindwa kuweka swali lielekewe vizuri.
Ila pamoja sana
Cheers,
Weekend njema.
 
Mtu ana party inakuja anaipaisha Aongelewe..
Na Niffah kakumbushia ya Chaggabebi pia, ilikuwa duh

Kwani mnafikiri miaka yote au niseme muda wote yupo na Diamond haongei na baba watoto? Mbona hata Tiffah anamjua? Wasipoongea wataleaje watoto wao.

Diamond na Zari wapo salama sana tu

Napenda njia zao za kuvuta pesa..
 
Asante Nifah mtu wangu.
Mimi nia yangu kama mwanaume wa dar nilikuwa nataka kujua kuwa kwa nini Mange anamfuata fuata sana zari? Na je zari hana time na Mange? Japo labda nilishindwa kuweka swali lielekewe vizuri.
Ila pamoja sana
Zari kawa mswahili na ana fekero la kuwa follow kina wema, mange, huko insta MTU akiwa kwenye official page yake huwa wajiona ma saint, but behind the scene sasa!!
 
Ukikaa na mtoto wa uswazi hata uweje lazma itafikia kipindi utabadilika tu utakuwa nawe mswazi.....
 
Lkn mbona hiyo picha ya Huyo mdada hapo ambaye yupo na Ivan ni mdogo wake na zari?
Atakuwa Huyo Huyo ndo aliliwa bana
Dhaaaaaaa!!!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…