Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Heeeee ngoja na mimi nikaimprove grammar zangu huko shoga.ukitaka kumjua zari nenda istagram kwa thecelebchronicles ni waganda wanamjua mwanzo mwisho utashangaa
ila kama unachamba ni kiingereza tu ukienda na kiswahili chako unablokiwa
Kuna kipindi nilikuwa nachambanaga na wazungu kwenye the celebrities nini sijui...
Tukutane huko [emoji126][emoji126][emoji126]
Na hivi simpendi nitachambaje?[emoji39][emoji39]