Kwanini alifunga vyuo na mashule?Kwani ni uongo mzee pombe hakubisha uwepo wa Covid19?
Aisee huyu bush man amekufa kwa corona kwasababu hakuamini njia za kisayansi ndiyo maana ilifika hatua akampongeza paroko kwa kutokuvaa barakoa kanisani.Kwanini alifunga vyuo na mashule?
Kwanini alifuta mbio za Mwenge?
Kwanini alisema tutumie mask zinazotengenezwa na MSD?
Au alipokataa propaganda a na drama za chanjo na vipimo feki ndo unaona nongwa.
We mbona una mambo ya kishamba? Lini JPM alizuia njia za kisayansi? Acha gubu la kike.Aisee huyu bush man amekufa kwa corona kwasababu hakuamini njia za kisayansi ndiyo maana ilifika hatua akampongeza paroko kwa kutokuvaa barakoa kanisani.
Rais Dr Magufuli alikubali uwepo wa corona, ilipoingia nchini alichukua hatua za awali za kupambana nao kama muongozo ukiotolewa na WHO na Africa CDC.Kwanini alifunga vyuo na mashule?
Kwanini alifuta mbio za Mwenge?
Kwanini alisema tutumie mask zinazotengenezwa na MSD?
Au alipokataa propaganda a na drama za chanjo na vipimo feki ndo unaona nongwa.
Haha mjane wa marehemu pombe mishipa imekutoka kweri-kweri 🤣🤣🤣We mbona una mambo ya kishamba? Lini JPM alizuia njia za kisayansi? Acha gubu la kike.
Awamu hi ni kutisha watu tu Corona Corona,mbona hawasemi ukweli Corona inatibika ndo maana wanaopona ni wengi Sana kuliko wachache wanaokufa.Rais Dr Magufuli alikubali uwepo wa corona, ilipoingia nchini alichukua hatua za awali za kupambana nao kama muongozo ukiotolewa na WHO na Africa CDC.
Baada ya muda akaongeza njia zake na kuachana na miongozo ya hizo tasisi kubwa na tukatumia maombi ya siku 3 na nyungu ambapo ndani ya siku chache hizo njia zilionyesha "mafanikio" makubwa na tukaambiwa ugonjwa haupo, japokuwa wapo watu walipata maambukizi kipindi ambacho tulikuwa tunafurahia "mafanikio" hayo na wapo waliopoteza uhai, lakini tulifanikiwa kuishangaza dunia kwa "kuidhibiti" corona na kuendelea na maisha kama kawaida bila tahadhari yoyote.
Mpaka January 27/2021 ambapo kulikuwa na mfululizo wa vifo vinavyotokana na matatizo ya mfumo wa upumuaji ndipo alikiri kuwa "corona haijawa kubwa na haipo, ipo chache sana".
Kinachoshangaza serikali ya sasa inasema tupo wimbi la tatu, na wimbi la pili lilituathiri kuliko wimbi la kwanza lakini hatukuwahi kuambiwa wimbi la pili limeanza lini na lilileta athari gani kwa maana kulikuwa na magonjwa mengine yaliyoathiri mifumo ya upumuaji na sio corona.
View attachment 1897791
wewe ambae sio idiots ungefanya nini cha tofauti ungepewa nafasi ya mwendazake kipindi hichoSiyo watu wote ni idiots kama wew na jiwe wako
Barokoa inakukinga na Corona?!Aisee huyu bush man amekufa kwa corona kwasababu hakuamini njia za kisayansi ndiyo maana ilifika hatua akampongeza paroko kwa kutokuvaa barakoa kanisani.
Angesema ipo ndio ingeisha?!Kwani ni uongo mzee pombe hakubisha uwepo wa Covid19?
Alisema hivyo baada ya kukataa uwepo wa Corona, mpaka alipoona hali inazidi kuwa mbaya ndio akakubali ipo bahati mbaya ikawa too late kwake.
Vipi lile gaidi lako lako kule ukonga? Umelipelekea uji leo?Bora hilo shenzi halipo tena..
Na lenyewe lilifyekwa na hiyohiyo corona.
Wewe msengeAlisema hivyo baada ya kukataa uwepo wa Corona, mpaka alipoona hali inazidi kuwa mbaya ndio akakubali ipo bahati mbaya ikawa too late kwake.
Kuamini Magufuli alikufa kwa corona na kuamini Mbowe ni gaidi kuna tofauti gani mkuu?Alisema hivyo baada ya kukataa uwepo wa Corona, mpaka alipoona hali inazidi kuwa mbaya ndio akakubali ipo bahati mbaya ikawa too late kwake.
Kwanini unaamini kuwa nae alifyekwa na corona? ni dalili zipi zinazokufanya uamini hivyo?Bora hilo shenzi halipo tena..
Na lenyewe lilifyekwa na hiyohiyo corona.
Atakufanye na corona tena wakati tulisikia alishadungwa chanjo ya corona?Hivi corona si ndiyo ilimtoa juu ya reli na kumpeleka kuzimu?
Wa afya!Watalaam gani?