Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa

Tunamuombea apone, na akipona awache matusi.

Kuna watu ni heri uwapige kuliko kuwatukana, hususan mtandaoni.

Hili liwe fundisho kwa wengi, hata humu JF kuna watu wanadhani hawatojulikana wakitukana, nawaasa, hakuna asiyeweza kupatikana mradi kaweza kuingia kwenye mtandao. Hata uje na id feki vipi au utumie apn. Pegasus ikikutaka inakupata tu.
 
It's like we're dealing with the SS of the Third Reich or The Stasi. This makes me sick to my stomach.​
 
Humu JF kuna wapuuzi mno ety Melo ameruhusu kutumia fake ID πŸ˜‚ utadhani kuna mtandao wamekataza kutumia fake ID
 
Tufanye kama Gen z kupinga hii kitu; mnasemaje?
 
Ni nani ametukanwa?
 
Pia walikuwa na wenge la hao wanyama wakali kwani na wao hapendi kuishi thubutu!! Mashine ilishake kidogo MUNGU ananguvu.
 
Hata wewe mwisho wako ni kuoza na kunuka tu niamini mkuu!!
 
Uhuru una mipaka, kuna watu wangapi wanakosoa mitandaoni , ila kufikia hatua kutukana matusi makubwa ambayo hata humu JamiiForums haiyakubali ni ujinga sio uhuru.
 
Pumbafu zenu wacheni kutisha watu kitoto kwani nani kawaambia watu wanataka kuishi milele!
 
kijana alikuwa na matusi mazito ya nguoni kutukania mpaka Mama za watu. Matusi mazito sio ukosoaji, wakosoaji mbona wengi tu kwanini iwe yeye
 
Naona maza mnamfanyia masaji kwa huu uhuni anaofanya kipindi cha JPM haya matukio mlimuita majina yote, huyu maza ni muuaji km wauaji wengine waliomshambulia lissu, hata km anatukana mtandaoni haimpi uhalali wa kutoa roho ya mtu, mange alimtukana matusi heavy ya huyu cha mtoto mmechemka kumpata mnahamishia hasira kwa kuhangaika na vidagaa, kama wao wanajiamini kwanini wasimpate mange na wale wanaompelekea taarifa nyeti za uchafu wa chura kiziwi?

Kwa vile yeye ni mwanamke nilitegemea kutosikia haya matukio lakini ni wazi wapo wengi walinyamazishwa milele kwa mbinu hizi, watu hawa na kwenye pori hilo kwa maagizo yake, alijifanya kuonyesha huruma kwa lissu mbona huyu kajitia upofu na kiziwi km alivyojiita, maza muhuni mnafiki mzandiki na muuaji kuzidi hata na wanaume shenzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…