Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Kama Mungu hajapenda.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile jamuhuri ya twitter achana nayoMtoto mdogo, sema yawezekana alitukana sana mtu. Unajua hasira na madaraka haviendani. Unakua unaonekana mchanga tu.
Sema Martin bwana. Jamaa kajiweka kwenye story.🤣🤣🤣🤣 Sasa martin au bon ni wakupambana kuwapata kweli. Si wanadeal nao tu. 😂😂😂😂. Siasa. Gadamn.
ILA VIJANA HASWA TWITTER.
HESHIMA KITU CHA BURE.
UNAWEZA FANYA MOVEMENT ZAKO ILA UWE NA BUSARA.
TRUST ME. HATA UGOME KAMA UNA OBJECTIVE UNA TOA DUKUDUKU LAKO KWA UFASAHA NA HESHIMA. HATA ADUI YAKO LAZMA AKUUNGE MKONO AU AKULINDE. ILA UNAMCHOCHEA, NA MATUSI, NA KEJELI. 19-35 NDUGU VIJANA MTAKUFA SAAAAAAAAAANA.
Kwa hiyo aliowatukana wamenyamazisha?kijana alikuwa na matusi mazito ya nguoni kutukania mpaka Mama za watu. Matusi mazito sio ukosoaji, wakosoaji mbona wengi tu kwanini iwe yeye
Mbona wametumia gharama Sana?Dar to Arusha alafu akapelekwa sehemu kama mpakani mwa Tanzania na Kenya alafu akarudishwa Arusha mjini tena baada ya muda safari ya kwenda Katavi kwenye pori lenye wanyama wengi na wakali.
Najaribu kuunganisha dots.........
Umenena vizuri mkuu ila nakuomba endelea kuunganisha dots. Jiulize ni kiongozi gani huwa anajinasibu wazi kabisa tangia enzi za JPM, alipoondolewa na mama haya matukio yalikoma na baada ya kurudishwa tu kwenye mfumo kuna aliyoyaongea kabla ya teuzi aliyonayo sasa. Husisha safari ya Dar to Arusha na victim kupelekwa mpaka mpakani mwa Tz na Kenya still ikaonekana huko hakufai ball apelekwe mbali kabisa sehemu atakapotokomezwa hata mfupa wake usipatikane lakini Mungu ni wa ajabu sana. Dots ni nyingi, ila jamaa katika hizi medani bado sana, his missions always leave traces behindMbona wametumia gharama Sana?
Dar, Arusha mpaka Katavi. Actually dogo alikua Hana content damaging kiasi Cha kutaka kumuua, huyu ilikua Ni kumchapa bakora mbili tatu na kumuonya aache matusi mitandaoni au apimwe akili, maana mtu anayetumia maneno Kama kiungo nyeti Cha kina mama au neno msenge hovyo hovyo atakua na hitilafu kichwani.
Binafsi sikupenda alichotendewa Ila sipendi matusi.
Kama kiongozi amefanya kosa litaje sio kumtukana matusi ya nguoni.
MUNGU anaianika CCMKuna watu dunia hii wana bahati, miongoni mwao ni Edgar Mwakalebela
Mungu alitenda miujiza
Unamuombea kwa nani!!?Tunamuombea apone, na akipona awache matusi.
Kuna watu ni heri uwapige kuliko kuwatukana, hususan mtandaoni.
Hili liwe fundisho kwa wengi, hata humu JF kuna watu wanadhani hawatojulikana wakitukana, nawaasa, hakuna asiyeweza kupatikana mradi kaweza kuingia kwenye mtandao. Hata uje na id feki vipi au utumie apn. Pegasus ikikutaka inakupata tu.
Em kwanza nicheke 😂Upo obsessed sana na Chadema. How is all this related to Chadema?
Katika story yote hiyo kuna mahali mtekwaji amehusishwa na Chadema? Unaposema hakuna alietaka kumuua huyo dogo una maanisha nini?
Kwamba mtu akuteke akutese kisha akuache kwenye pori lenye wanyama wakali akiwa amekufunga pingu na kukupiga risasi ya kichwa then uko hapa una claim "NAAMINI HAKUNA ALIETAKA KUMUUA"? what kind of logic is that?
Eti kwamba "kama risasi ilimkosa ikampiga mdomoni". Kitu kinawezaje kukukosa halafu then kikupige?🤣 And then kama upo na uhakika umeshaua kwanini utumie tena round nyingine kuua marehemu?
Hao jamaa walifanya kila kitu with intent to murder it's only that the guy is luck.
Next time uwe unasoma ulichoandika kabla ya kupost maana unadhihirisha utaahira wako.
Soma comment yangu ya juu hapoTatizo la watu wa CHADEMA ni matusi
Tatizo la watu wa CCM ni wauaji, wezi na mafisadi.
Je, kuna kitu unataka kuingea hapo su kuna point umeisahau?
Napinga kabisa watu kutumia mamlaka na silaha kunyamanzisha watu wanaopingana nao kiitikadi au kisiasa
Ila huyu dogo nae Hana adabu hata kidogo, nimepita page yake ya Twitter ni kichefuchefu kijana ana matusi ya nguoni mpaka kero,
Mkuu tutumie matusi yake tuyaoneIla huyu dogo nae Hana adabu hata kidogo, nimepita page yake ya Twitter ni kichefuchefu kijana ana matusi ya nguoni mpaka kero,
Mi sijui kwanini walihangaika nae, dogo zaidi ya matusi na mambo ya kubet hakuna la maana analoandika,
Hivi mtu mmoja kama yule kama kweli anatukana ndio dawa auwawe? Amekuwa gaidi? Ana kosa la mauwaji?Uhuru una mipaka, kuna watu wangapi wanakosoa mitandaoni , ila kufikia hatua kutukana matusi makubwa ambayo hata humu JamiiForums haiyakubali ni ujinga sio uhuru.