Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa

ile jamuhuri ya twitter achana nayo
kila kijana anataka ajulikane
unajulikanaje sasa, ishu ipo apo
vya hovyo ni vingi mno
 
kijana alikuwa na matusi mazito ya nguoni kutukania mpaka Mama za watu. Matusi mazito sio ukosoaji, wakosoaji mbona wengi tu kwanini iwe yeye
Kwa hiyo aliowatukana wamenyamazisha?

Nani kaandika "ukosoaji" au "wakosoaji"?
 
Dar to Arusha alafu akapelekwa sehemu kama mpakani mwa Tanzania na Kenya alafu akarudishwa Arusha mjini tena baada ya muda safari ya kwenda Katavi kwenye pori lenye wanyama wengi na wakali.
Najaribu kuunganisha dots.........
 
Wakati mwingine ni kuharibu resources na kujiharibia tu kudeal na mambo ya kitoto haya.

Serikali ina mambo mengi sana ya kufanya kuliko huu ujinga ujinga, kama ni kweli Serikali inajiingiza kwenye vitu kama hivi basi itakuwa kuna upumbavu wa hali ya juu huko ndani ya Serikali, kama shida ni matusi na kumnyamazisha huyo Dogo mbona ziko njia nyingi sana za kufanya kuliko hicho walichofanya?

Kwangu mimi imetumika nguvu na gharama pasipo sababu, hiyo resources ingetumika kwenye kazi nyingine ingeweza kuleta tija zaidi kuliko kudeal na hawa watoto ambao hata hawajui wanachofanya.
 
Dar to Arusha alafu akapelekwa sehemu kama mpakani mwa Tanzania na Kenya alafu akarudishwa Arusha mjini tena baada ya muda safari ya kwenda Katavi kwenye pori lenye wanyama wengi na wakali.
Najaribu kuunganisha dots.........
Mbona wametumia gharama Sana?
Dar, Arusha mpaka Katavi. Actually dogo alikua Hana content damaging kiasi Cha kutaka kumuua, huyu ilikua Ni kumchapa bakora mbili tatu na kumuonya aache matusi mitandaoni au apimwe akili, maana mtu anayetumia maneno Kama kiungo nyeti Cha kina mama au neno msenge hovyo hovyo atakua na hitilafu kichwani.
Binafsi sikupenda alichotendewa Ila sipendi matusi.
Kama kiongozi amefanya kosa litaje sio kumtukana matusi ya nguoni.
 
Umenena vizuri mkuu ila nakuomba endelea kuunganisha dots. Jiulize ni kiongozi gani huwa anajinasibu wazi kabisa tangia enzi za JPM, alipoondolewa na mama haya matukio yalikoma na baada ya kurudishwa tu kwenye mfumo kuna aliyoyaongea kabla ya teuzi aliyonayo sasa. Husisha safari ya Dar to Arusha na victim kupelekwa mpaka mpakani mwa Tz na Kenya still ikaonekana huko hakufai ball apelekwe mbali kabisa sehemu atakapotokomezwa hata mfupa wake usipatikane lakini Mungu ni wa ajabu sana. Dots ni nyingi, ila jamaa katika hizi medani bado sana, his missions always leave traces behind
 
Unamuombea kwa nani!!?
 
Em kwanza nicheke πŸ˜‚

1. Haya nambie n nani alifungua ile pingu mana video ile anaonekana hana pingu?

2. Ety kwamba kitu kinawezaje kukukosa afu kikupate πŸ˜‚ kwan hujamsikiliza kuwa walitaka kunipiga ya kichwa ila ikanipata ya mdomoni? Haya na ww nambie alijuaje kuwa wanataka kumpiga risasi ya kichwa?

3. Kuhusu Chadema, em rudi kwenye aina za post zake huko X na waliokuwa wanampa sapoti n akina nan?
Angalia sasa hv n chama gn wanaongoza kwenye hii ishu, na Chadema mlivyo vzr kuenda na trending mnataka mchukue point zenu kupitia jamaa.
Mwisho kabisa πŸ˜‚ mbona kuna mwanaccm alichangia pesa lkn akarudishiwa pesa hy ety watu hawataki pesa kutoka ccm ety ina unafiki.

Bwana mdogo haya naomba majibu hasa hapo na. 3 mana naona imekuuma sana mm kuisema Chadema.
 
Huu uharakati wa kumshabikia sijui boni yai mara maranja mpk mnataka kuuliwa.
Sijui mmelogwa wapi, kuanzia chama cha wapigaji tu.
Vijana badala kuwekeza nguvu zenu kufanya mambo ya maana mnakimbilia kuunga mkono wanasiasa hawa.
Wenzenu wanapiga ruzuku huko juu nyie mnapewa makombo mnaishia kutukana viongozi.
Hata aliyekuja na vx v8 humjui.
Unasema ulipelekwa karakana obay ila polisi hawana taarifa.
Aloo,
Kuanzia wewe kupigwa pingu ni mali ya serikali,
Karakana hufiki bila kupita pale counter.
Mpk upitishwe mlango wa nyuma,hapo sasa we ni jambazi uliyeshindikana.
Na wanaenda kumalizana na wewe.
Uongo kwamba ni siasa hamna.
Kwasasa unatakiwa kujiuguza na kushukuru mungu kakuponya.
 
Napinga kabisa watu kutumia mamlaka na silaha kunyamanzisha watu wanaopingana nao kiitikadi au kisiasa


Ila huyu dogo nae Hana adabu hata kidogo, nimepita page yake ya Twitter ni kichefuchefu kijana ana matusi ya nguoni mpaka kero,
 

Attachments

  • 20240627_190439.jpg
    50.7 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…