Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa

Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa

Upo obsessed sana na Chadema. How is all this related to Chadema?

Katika story yote hiyo kuna mahali mtekwaji amehusishwa na Chadema? Unaposema hakuna alietaka kumuua huyo dogo una maanisha nini?

Kwamba mtu akuteke akutese kisha akuache kwenye pori lenye wanyama wakali akiwa amekufunga pingu na kukupiga risasi ya kichwa then uko hapa una claim "NAAMINI HAKUNA ALIETAKA KUMUUA"? what kind of logic is that?

Eti kwamba "kama risasi ilimkosa ikampiga mdomoni". Kitu kinawezaje kukukosa halafu then kikupige?🤣 And then kama upo na uhakika umeshaua kwanini utumie tena round nyingine kuua marehemu?

Hao jamaa walifanya kila kitu with intent to murder it's only that the guy is luck.

Next time uwe unasoma ulichoandika kabla ya kupost maana unadhihirisha utaahira wako.
Yan hata mm nimeshindwa kumuelewa kabisa, inaonyesha kabisa nchii hii inavijana wenye upeo mdogo sana
 
Dar to Arusha alafu akapelekwa sehemu kama mpakani mwa Tanzania na Kenya alafu akarudishwa Arusha mjini tena baada ya muda safari ya kwenda Katavi kwenye pori lenye wanyama wengi na wakali.
Najaribu kuunganisha dots.........
Ukishamaliza kuunganisha dots jipige risasi ya kichwa ukafie mbali, maana na wewe n mzigo kwa taifa hili..

Jambo lisipokukuta huwez kujua maumivu
 
Kuteswa imeenza tangu dunia imeumbwa ndio maana hata Yesu aliteswa. Usifikiri imeanza wakati wa Mwamba Magufuli utakuwa unajidanganya na itaendelea hata baada ya Mama kutoka ni mawazo finyu tu kufikiri utesaji umeanza wakati wa Magufuli. Wamarekani wanaendelea kutesa watu huko Gwantanamol mpaka leo. Kitu muhimu tuache kutukana watu ovyo la sivyo tukubaliane na matokeo yake!
Jamani elimu bure, mtumie hii fulsa kurudi shule kupata elimu hata ya memkwa…
Cz it seems like kichwani kunakinyesi tuu… Maana huwez Ieta maswala y gwantanamo ili hali kule sio Tanzania..
We need specific link
 
Jamani elimu bure, mtumie hii fulsa kurudi shule kupata elimu hata ya memkwa…
Cz it seems like kichwani kunakinyesi tuu… Maana huwez Ieta maswala y gwantanamo ili hali kule sio Tanzania..
We need specific link
Shithole
 
Walikuwa na dhamira ya kumuua na ndomana walimtoa dar, to Arusha. Na arusha to katavi, na ndomana walimpiga risasi na kumtelekeza msitu wenye wanyama wakali…
Ni miujiza ya Mungu kunisurika kama alivyonusurika lissu..

Next time usiongee km umekatika kichwa, use ur common sense
Hv Hiyo miujiza hua ipo kwa watu wa Chadema tuu au
 
Back
Top Bottom