Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndo tusi sio?Tena matusi makubwa sana. Post ya mwisho alisema watakaofungua biashara mshale wa jicho, ukikosa jicho uwe wa kichwa
Yan hata mm nimeshindwa kumuelewa kabisa, inaonyesha kabisa nchii hii inavijana wenye upeo mdogo sanaUpo obsessed sana na Chadema. How is all this related to Chadema?
Katika story yote hiyo kuna mahali mtekwaji amehusishwa na Chadema? Unaposema hakuna alietaka kumuua huyo dogo una maanisha nini?
Kwamba mtu akuteke akutese kisha akuache kwenye pori lenye wanyama wakali akiwa amekufunga pingu na kukupiga risasi ya kichwa then uko hapa una claim "NAAMINI HAKUNA ALIETAKA KUMUUA"? what kind of logic is that?
Eti kwamba "kama risasi ilimkosa ikampiga mdomoni". Kitu kinawezaje kukukosa halafu then kikupige?🤣 And then kama upo na uhakika umeshaua kwanini utumie tena round nyingine kuua marehemu?
Hao jamaa walifanya kila kitu with intent to murder it's only that the guy is luck.
Next time uwe unasoma ulichoandika kabla ya kupost maana unadhihirisha utaahira wako.
Ukishamaliza kuunganisha dots jipige risasi ya kichwa ukafie mbali, maana na wewe n mzigo kwa taifa hili..Dar to Arusha alafu akapelekwa sehemu kama mpakani mwa Tanzania na Kenya alafu akarudishwa Arusha mjini tena baada ya muda safari ya kwenda Katavi kwenye pori lenye wanyama wengi na wakali.
Najaribu kuunganisha dots.........
Jamani elimu bure, mtumie hii fulsa kurudi shule kupata elimu hata ya memkwa…Kuteswa imeenza tangu dunia imeumbwa ndio maana hata Yesu aliteswa. Usifikiri imeanza wakati wa Mwamba Magufuli utakuwa unajidanganya na itaendelea hata baada ya Mama kutoka ni mawazo finyu tu kufikiri utesaji umeanza wakati wa Magufuli. Wamarekani wanaendelea kutesa watu huko Gwantanamol mpaka leo. Kitu muhimu tuache kutukana watu ovyo la sivyo tukubaliane na matokeo yake!
Daah shule n Muhimu sana..Na usikute waliomchoma ni hao anaodaiwa Kutumiwa nao
Watu hawataki utawala kwenye ajira zao ukianza kuibuka unapotezwa sio sawa kuamini Kila mtu
ShitholeJamani elimu bure, mtumie hii fulsa kurudi shule kupata elimu hata ya memkwa…
Cz it seems like kichwani kunakinyesi tuu… Maana huwez Ieta maswala y gwantanamo ili hali kule sio Tanzania..
We need specific link
Hv Hiyo miujiza hua ipo kwa watu wa Chadema tuu auWalikuwa na dhamira ya kumuua na ndomana walimtoa dar, to Arusha. Na arusha to katavi, na ndomana walimpiga risasi na kumtelekeza msitu wenye wanyama wakali…
Ni miujiza ya Mungu kunisurika kama alivyonusurika lissu..
Next time usiongee km umekatika kichwa, use ur common sense
Miujiza utendwa na Mungu kwa waja wake wanyonge ili waweze kuipata hakiHv Hiyo miujiza hua ipo kwa watu wa Chadema tuu au
Nani kampa hiyo nafasi ya pili?Kijana amepewa nafasi ya pili, ila mi siwezi kumuita mwanaharakati maana nilichoona kwenye page yake ni matusi tu Wala hakuna Cha maana